Obado apatikana na hatia ya kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno, akiwa mjamzito
ALIYEKUWA Gavana wa Migori Okoth Obado, amepatikana na hatia ya kumuua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno, aliyekuwa mjamzito. Aliyekuwa msaidizi wake wa kibinafs...