Ulipo mkwamo kukomesha migomo sekta ya usafirishaji
Soma hapa...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Mgomo Wa Wahudumu Wa Uchukuzi.
Fresh curated links around Mgomo wa wahudumu wa uchukuzi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma hapa...
Baadhi ya madereva wa daladala katika Manispaa ya Morogoro wamegoma kutoa huduma ya usafiri kwa zaidi ya saa moja, wakipinga kuhamishiwa Stendi ya Soko la Fire, wakidai haina nafas...
Hali bado ni tete ndani ya Standi ya Mabasi Magufuli, jijini Dar es Salaam huku madereva wakiendelea na mgomo na hadi saa 1:45 asubuhi hakuna basi lililoondoka kuanza kutoa huduma,...
Huduma za usafiri wa daladala katika Manispaa ya Morogoro zimeanza kurejea baada ya madereva kusitisha mgomo wa siku mbili uliosababishwa na kutoridhishwa na eneo waliloelekezwa ku...
Licha ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, kuwataka madereva kurejea kazini na kuendelea na safari kwa amani, baadhi ya abiria wameendelea kusota katika Kituo cha Mabasi...
ABIRIAkatika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) waliingiwa na wasiwasi na sintofahamu kuhusu safari zao baada ya wafanyakazi wa sekta ya anga kuanza tena mgomo....
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imesema Serikali inaendelea kufanyia kazi changamoto zilizojitokeza baada ya mabasi ya mikoani kuagizwa kuanzia na kumalizia safari kati...
Soma hapa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linatoa wito kwa madereva kufuata sheria na alama za usalama barabani ili kuzuia ajali zinazoweza kuzuilika.
ABIRIA waliokuwa wakisafiri kuelekea Nairobi na Entebbe kupitia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kisumu jana walikwama kwa muda mrefu huku shughuli uchukuzi angani zikitatizwa. Mgo...
Ndoto ya kupata ajira imeanza kuyeyuka kwa binti mmoja baada ya mgomo wa madereva kumkwamisha mjini Iringa na kushindwa kuendelea na safari ya kwenda Dar es Salaam ambako alikuwa n...
Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Mafiga na Kihonda Azimio wameiomba Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuingilia kati malalamiko yao kuhusu bajaji kutoa hud...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amewataka madereva wa mabasi kurejea kazini na kuendelea na shughuli zao kwa amani, huku akiliagiza Jeshi la Polisi kusitisha kwa muda mf...
Siku tatu za usumbufu wa usafiri jijini Mbeya zimeibua kilio kwa wananchi wanaotegemea bajaji kufika kazini, kufanya biashara na kusafirisha bidhaa, huku wakiiomba Serikali kuwashi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe, ameondoa zuio la bajaji kuondolewa katika Barabara Kuu ya Tanzam jijini Mbeya, huku akielekeza kuundwa kwa...
Soma hapa...
Polisi Mkoa wa Simiyu wanawashikilia watu watatu wakiwamo watumishi wanaofanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa betri 40 na kifaa...
Nchi za Afrika zimeshauriwa kupunguza gharama za kusafirisha mizigo, kuimarisha korido za kiuchumi na kutumia teknolojia katika kufuatilia mizigo na taarifa, na kuongeza ufanisi wa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge Miundombinu, imetaka Bandari Kavu ya Kwala, itumike kusaidia kuondoa changamoto ya msongamano wa malori katika Jiji la Dar es Salaam.
Soma hapa...
Soma hapa...
WAMILIKI wa matatu wameonya kuwa huenda nauli ikapanda kufuatia ongezeko la bei ya mafuta, wakisema hawawezi kuendelea kubeba gharama huku wakipata hasara. Chama cha Wamiliki w...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.