Bei za petroli, dizeli zapaa Zanzibar
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 zitakazoanza kutumika kuanzia leo Alhamisi Mei 7, 2026.
Search fresh public links, source activity, and post angles for Mgomo Wa Mafuta.
Fresh curated links around Mgomo wa mafuta are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 zitakazoanza kutumika kuanzia leo Alhamisi Mei 7, 2026.
Soma zaidi...
Mafuta ya rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam, watalazimika kuongeza Sh956 kwa kila lita moja ya petroli baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka sh2,864.
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kutokuwa na hofu kuhusu suala la mafuta akisema Tanzania ipo macho na itahakikisha hakutokei madhara ya kukosekana kwa mafuta.
Katika toleo la Aprili, Petroli ilipanda kwa zaidi ya Sh900 kwa lita.
Wabunge wametoa ya moyoni kuhusu suala la mafuta wakitaja mambo saba ambayo yanaweza kupunguza makali hayo ili kutoa nafuu ya maisha kwa wananchi.
CHAMA cha wenye magari nchini Kenya (MAK) kimetoa ilani ya mgomo wa kitaifa, kikionya kuwa shughuli zitakwama nchi nzima kuanzia Jumatatu kulalamikia ongezeko la hivi majuzi la bei...
MGOMO wa wahudumu wa matatu ambao umesitishwa kwa muda wa siku saba ukiendelea, baadhi ya wachuuzi wa bidhaa za kula katika Kaunti ya Nairobi walitumia jukwaa hilo kuvuna hela. Mm...
MAENEO kadhaa nchini yanakabiliwa na uhaba wa mafuta huku ikihofiwa kwamba wafanyabiashara wanahodhi bidhaa hiyo. Kero hiyo inayohusishwa na utatizwaji wa soko la dunia huku tahar...
USHURU wa mafuta na faida za kampuni za uuzaji mafuta sasa zinatarajiwa kuangaziwa kwa makini huku serikali ikipambana na muda kupunguza bei ya mafuta ndani ya siku saba zijazo ili...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2026/27, huku suala la bei ya mafuta likiwa si miongoni mwa mambo yaliyopata jawabu.
Kupanda kwa bei ya mafuta hususani petroli, makali yameanza kung'ata jijini Mbeya baada ya usafiri wa daladala kuweka 'mgomo' kutoa huduma huku wananchi wakilia na nauli za bajaji...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kushangazwa na kile kilichokiita kutochukuliwa kwa hatua za haraka na mamlaka husika katika kudhibiti kupanda kwa bei ya mafut...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei mpya za mafuta, ambapo lita moja ya petroli na dizeli imeongezeka kwa wastani wa Sh500. Wakati bei...
Kupanda kwa nauli za mabasi ya abiria mijini na bodaboda, kumefungua milango ya neema kwa wadau wa usafirishaji kupitia baiskeli hasa katika mikoa ambayo usafiri huo unatumika kube...
KASHFA za mafuta nchini Kenya si geni; zinaanika jinsi sekta hii muhimu imetekwa na mitandao ya maslahi ya kibiashara, ushawishi na mianya katika udhibiti inayotumiwa na wenye nguv...
Waendesha matatu wamesema wamechukua hatua hiyo baada ya serikali kutangaza ongezeko jipya la bei ya mafuta, wakidai kuwa gharama za uendeshaji zimepanda na kupunguza faida yao kwa...
KUNA Kuna uwezekano wa bei ya dizeli kupanda zaidi hadi Sh300 kwa lita katika miezi michache ijayo kufuatia tahadhari kuhusu kupanda kwa gharama ya usafirishaji wa mafuta pamoja na...
LITA moja ya petroli inauzwa Sh450 katika miji ya Ilbisil na Mali Tisa, Kaunti ya Kajiado, kufuatia madai kwamba baadhi ya wamiliki wa vituo vya mafuta wanahodhi bidhaa hiyo, hali...
UPUNGUFU mkubwa wa bidhaa muhimu katika Soko la Kongowea mjini Mombasa wakati wa mgomo kuhusu bei ya mafuta uliotamatika Jumanne, ulifichua jinsi jiji hilo hutegemea kikamilifu usa...
Chama cha Wamiliki wa Malori nchini, (TAK), kimeagiza wanachama wake kuongeza gharama za usafirishaji kwa asilimia 30, kikitaja kupanda kwa bei ya mafuta kufuatia ongezeko la...
SERIKALI imetangaza kupunguza viwango vya ubora wa mafuta yanayouzwa nchini, kwa kuruhusu madini hatari ya Sulphur kuongezwa kwa kipindi cha miezi sita. Katika taarifa iliyotole...
RAIS William Ruto ameanza ziara yake ya maendeleo ya wiki moja katika eneo la Pwani Kaunti ya Mombasa huku shinikizo zikiongezeka kwa serikali kuzuia mgomo mwingine wa kulalamikia...
Mbali na hilo, Dk Mwinyi amewasihi wananchi kudumisha umoja, mshikamano na upendo, akionya kuwa machafuko na migogoro huleta madhara makubwa ya kijamii na kiuchumi.
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.