AI yaanza kutumika kutengeneza chanjo za Ebola, Uviko-19, wataalamu watia neno
Wakati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiendelea kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliosababisha vifo vya watu 232, matumaini mapya yanaibuka katika ulimwengu wa sayansi...