Mchuuzi aliyepiga guu kilomita 250 kuja Nairobi kutafuta karo ya chuo apata ahadi kadhaa
KWA muda wa miaka 10, Duncan Kibet, mchuuzi wa bidhaa katika Kaunti ya Bomet amekuwa akijaribu kujiunga na chuo kikuu, apate shahada ili kuimarisha hali ya maisha ya familia yake c...