Uwanja wa Talanta wazidi kubugia pesa ukihitaji Sh6.97 bilioni zingine kwa dharura
SERIKALI inakabiliwa na presha kulipa Sh6.97 bilioni mwezi huu kwa kampuni ya China Road and Bridge Corporation (CRBC), inayojenga Uwanja wa Talanta Sports City jijini Nairobi, mra...