Alhamisi ni siku ya kawaida ya kazi, Kindiki na Mwaura waonya upinzani kuhusu Juni 25
SERIKALI imewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya kutumia maandamano ya Gen-Z hapo Alhamisi kujinufaisha kisiasa, ikisema watakabiliwa vikali kisheria. Maandamano hayo yamepangwa k...