Mpasuko kambi ya Oburu huku Junet, Millie, Ruth na Otiende wakikosa mkutano
MKUTANO wa ODM ambao uliandaliwa Kisumu Jumapili umeanika nyufa ndani ya mrengo wa chama hicho unaoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga na wandani wake. Baadhi ya viongozi...