Kuuawa kwa kijana kwa kupigwa risasi na polisi kwazua hasira na maandamano Garissa
TAHARUKI ilitanda katika mji wa Garissa baada ya wakazi kuandamana kulalamikia walichotaja kuwa ukatili wa polisi kufuatia kifo cha kijana mmoja dereva, Aden Mohamed Hassan. Hassa...