Yafichuka daktari aliyeuawa kwa risasi asubuhi jijini aliwahi kuripoti kupokea vitisho
MAUAJI ya mwanasaikolojia Dkt Victoria Nthunya Mutiso kwa kupigwa risasi katika Barabara ya Mbagathi Link, Nairobi, Jumatano asubuhi, yamezua maswali mapya baada ya kubainika aliku...