Wanafunzi 58 wafutiwa matokeo kwa udanganyifu ikiwemo kutumia ChartGPT
Watahiniwa waliozuiwa matokeo ni 184 wa mtihani wa kidato cha sita (ACSEE), watano wa mtihani wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (DPEE) na mmoja wa Mtihani wa Stashahada ya...