MAONI: Walimu waonyeshe mfano wa nidhamu hata wanapotumia mitandao ya kijamii
KANUNI za kuimarisha nidhamu miongoni mwa walimu ni hatua inayofaa, hasa katika enzi hii ambapo mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku. Mwalimu si mfanya...