Masuala na dhana msingi katika fani ya ushairi
LEO naomba tuangazie masuala ya kimsingi kuhusu ushairi. Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia kanuni/sheria/kaida/arudhi na mpangilio wa lugha ya mkato na yenye mpigo au mdundo...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Malumbano Ya Ushairi.
Fresh curated links around Malumbano ya Ushairi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
LEO naomba tuangazie masuala ya kimsingi kuhusu ushairi. Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia kanuni/sheria/kaida/arudhi na mpangilio wa lugha ya mkato na yenye mpigo au mdundo...
Uhuru wa Kenyataa, liweza tenda makuu,Taifa weza kung'aa, nchi piga hatua kuu,Mambo yenye umang'aa, 'liisha kwa njia kuu,Uhuru ni kiongozi, alitenda mema nchini.Watahiniwa kuweza,...
MSAMIATI ni jumla ya maneno yanayotumiwa katika lugha fulani. Msamiati wa lugha huzidi kukua kulingana na mwingiliano wa tamaduni mbalimbali, utohozi wa maneno kutoka lugha ngeni...
Wasomi njie mefanya, yalo masomo shuleni,Wasomi mi nawaonya, sasa mlipo nyumbani,Wasomi sije changanya, yalo mbi ya majutoni,Wasomi wote wa Kenya, hino likizo someni.Wasomi sitawas...
SIKU ya leo tutarejelea baadhi ya viwango mbalimbali vya utuzaji wa insha kuanzia D- hadi B wasatani. Kila insha huwa na jumla ya alama 20. D – alama 01- 02 1. Insha ya namna hii...
TUNAPOTUNGA sentensi sharti tuzingatie upatanisho wa kisarufi ili sentensi ziwe sahihi. Upatanisho wa kisarufi katika sentensi hutokana na jinsi nomino huathiri vitenzi katika sen...
SOTE tujuavyo, fasihi ni kioo cha jamii—huakisi maisha yetu, maadili yetu, changamoto zetu, na matarajio yetu. Ni kupitia fasihi ambapo jamii hujiona ilivyo, hujirekebisha, na kuj...
LEO tuangalie swali la nne katika mitihani ya insha. Kimsingi, swali hili huwa ni insha ya kubuni au ya mdokezo. Mtahiniwa anahitajika kuanza kwa maneno fulani ama kukamilisha kwa...
Soma hapa...
LUGHA ya Kiswahili huzingatia nafsi tatu katika umoja na wingi. Nafsi ya kwanza ni mimi, wingi wake ni sisi. Nafsi ya pili ni wewe, wingi ni nyinyi. Nayo nafsi ya tatu ni yeye, k...
JUMA hili tunaangazia taasubi za kiume kwa kurejelea dondoo lifuatalo: “Nyinyi mna maswali mengi. Si mngoje kwanza nimalize kusimulia halafu mniulize maswali?” (a) Eleza muktadha...
AFRIKA ina zaidi ya lugha 2,000 ambazo ni thuluthi moja ya lugha zote ulimwenguni. Miongoni mwa lugha hizi ni Kiswahili - lingua franca ya Afrika Mashariki, Kiyoruba, Amharic, isiZ...
JUMA hili naomba tujadili athari za ukabila tukirejelea maswali kutokana na dondoo lifuatalo. “Siasa za majina zikashamiri katika utawala wa Mtemi Lesulia. Hata wale waliobahatika...
Soma zaidi...
Katika kusisitiza mwelekeo mpya wa ushindani, Sungura amesema majaji hawataangalia ubora wa uandishi pekee, bali pia athari halisi ya stori kwa jamii.
Soma zaidi hapa...
LEO tutaangazia baadhi ya maswali likiwemo suala la malezi kwa kurejelea dondoo lifuatalo. “Wazazi waliasa, ‘Nguo ya kuomba haisitiri makalio.’ Alifunzwa kutotumia sifa za kike a...
Soma zaidi...
JUMA hili tutaangazia jinsi maudhui ya elimu yalivyoshughilikiwa katika riwaya ya ‘Nguu za Jadi’ tukirejelea swali lifuatalo la muktadha au dondoo. “Hapo umesema ndugu. Na mia ka...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.