Mradi wa maji wa Sh2.1 bilioni kuboresha maisha ya wananchi Maswa
Mradi huo unalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwasumbua wananchi wa maeneo hayo kwa muda mrefu, hususan wanawake na watoto waliokuwa wakitembea umbali...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Maji Ya Unyunjiziaji Mashamba Kwale.
Fresh curated links around Maji ya unyunjiziaji mashamba Kwale are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Mradi huo unalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwasumbua wananchi wa maeneo hayo kwa muda mrefu, hususan wanawake na watoto waliokuwa wakitembea umbali...
Mradi huo unahusisha ujenzi wa tenki la kuhifadhi na kusambaza maji kwenye mnara wa urefu wa mita 12, lenye uwezo wa kuhifadhi lita 200,000 pamoja na ulazaji wa bomba kwa umbali wa...
Hatimaye kilio cha maji kwa wakazi wa Magomeni Kota, jijini Dar es Salaam kipo karibu kupata jawabu, baada ya Serikali kuanza kufunga mifumo ya usambazaji wa huduma hiyo kwenye nyu...
Zaidi ya wakazi 10,000 katika Wilaya ya Monduli watanufaika na ugawaji wa matenki 500 ya kuhifadhia maji, kila moja likiwa na uwezo wa lita 5,000, ikiwa ni sehemu ya mradi wa uvuna...
WAKAZI wa eneo la Kisumu Magharibi wamepata afueni baada ya Mamlaka ya Kitaifa ya uhifadhi wa Maji (NWHSA) kuzindua miradi ya uchimbaji visima ili kukabiliana na uhaba wa maji safi...
KWA miaka mingi, ukame, mvua zisizotabirika na upotevu wa mifugo vimekuwa vikitatiza maeneo kame na nusu-kame (ASAL) nchini. Lakini simulizi hiyo inaanza kubadilika. Badala ya...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebaini mamlaka za maji katika kanda nne nchini zimeshindwa kufikia viwango vinavyotakiwa vya upatikanaji wa maji.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imeanza kuziba mabomba, kukarabati na kubadilisha miundombinu chakavu ili kupunguza upotevu wa maji katika eneo in...
UJENZI wa mradi wa bwawa la Mwache wa Sh20 bilioni unakabiliwa na matatizo ya kifedha ambayo yanahatarisha kukwamisha kukamilika kwa mradi huo kwa wakati uliopangwa. Bwawa hilo le...
KADRI athari za mabadiliko ya tabianchi zinavyozidi kushika kasi kuanzia ukame wa muda mrefu hadi mafuriko, wadudu na magonjwa, wakulima na wafugaji nchini Kenya wanalazimika kubad...
Ameendelea kusema kuwa wakiacha hali hiyo iendelee, wakulima wa ufuta watalazimika kupeleka mazao yao Halmashauri ya Mtama kwa kuwa halmashauri hiyo imeboresha barabara zao.
Idara ya Hali ya Hewa nchini Kenya imetoa onyo kwa wakulima kwamba mvua ya Aprili itakuwa chache sana mwanzoni mwa mwezi kabla ya kuimarika baadaye. Kulingana na idara hiyo, wak...
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya amewaagiza watendaji wa kata, vijiji na mitaa kuhakikisha kila mwananchi aliyeandikishwa kupata chandarua kwenye halmashauri ya mji Ifak...
Wananchi wa Kata ya Kibirizi, eneo ambalo mradi huo unatekelezwa, wanasema licha ya kuhamishwa tangu mwaka 2015 kupisha ujenzi huo, hakuna maendeleo ya kuridhisha yaliyofanyika had...
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameikalia kooni kampuni ya Rand Water, wakidai imeshindwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji visiwani humo, huku wakisisitiza kuwa...
WADI za Ibeno na Keumbu katika eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii ni maarufu sana katika ukuzaji wa miwa ya kutafuna. Unapozuru maeneo hayo kwa mara ya kwanza, utakari...
KAUNTI ya Laikipia ikiwa miongoni mwa maeneo ambayo athari za tabianchi zinaendelea kutatiza mifumo ya jadi ya ufugaji, mabadiliko makubwa yanaibuka kimya kimya yakiongozwa na ngam...
Kuendelea kuwepo kwa mashimo katika barabara mbalimbali za mitaa ya Jiji la Dar es Salaam kumechangia kujaa kwa maji hata pale mvua zinaponyesha kidogo.
Serikali imesema itaendelea kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji na wazalishaji wadogo wa chumvi nchini, ikiwemo kuboresha miundombinu ya barabara, kuwezesha upatikanaji wa...
Serikali imeondoa hofu kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa maji Manyoni mkoani Singida, ikiahidi kulipa fidia kwa mujibu wa sheria.
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), kujifungia ili kutafuta suluhu ya kudumu itakayowezesha watumiaji wa Daraja la Mkund...
Wakati gharama za nishati ya kupikia zikiendelea kuwa mzigo kwa wananchi wengi vijijini, ujio wa majiko banifu 1,247 wilayani Maswa umeibua matumaini mapya ya kupunguza matumizi ya...
Kufuatia uwekezaji wa Serikali katika kuboresha miundombinu ya sekta ya kilimo, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, inatarajia kuzalisha tani 430,452 za mpunga katika ms...
Kwa mara nyingine tena wakulima katika eneo la Nyanza wamepokea hamasisho kuhusu namna ya kukabiliana na pembejeo feki. Hatua hii inalenga kuwaepusha na hasara zinazotokana na u...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.