Latest updates for Mahakama Kuu
Fresh curated links around Mahakama Kuu are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi waburutwa kortini
- Chadema yaweka msimamo Tume ya Jaji Lila
- Mahakama yazima mchakato wa kumfurusha Jaji Mkuu Koome
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Mahakama yazima mchakato wa kumfurusha Jaji Mkuu Koome
MAHAKAMA Kuu imeizuia Tume ya Huduma ya Mahakama (JSC) kuendelea kushughulikia maombi ya kuwaondoa majaji wa Mahakama ya Juu hadi kanuni za kusimamia mchakato huo ziwekwe rasmi....
Hukumu kesi ya mawakili wa Lissu Ijumaa
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imepanga kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mawakili watatu wanaojitambulisha kuwa washauri wa kisheria wa Mwenyekiti wa Chama cha...
Mahakama Kenya yawaruhusu marais wastaafu kushiriki siasa
Mahakama Kuu nchini Kenya imebatilisha vifungu vya sheria vilivyowazuia marais wastaafu kushiriki kikamilifu katika siasa, ikisema kustaafu urais hakumvui mtu haki zake za kikatiba...
Hukumu kesi ya mawakili kuzuiwa kumuona Lissu kutolewa kesho
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, kesho inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mawakili watatu wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
Jaji Mkuu awapa maagizo wasajili wa Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewataka manaibu wasajili wa Mahakama Kuu nchini kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kuzingatia masilahi ya haki, akisisitiza kuwa tarati...
Lissu ataja kanuni 12 za kuzingatiwa kuamua kesi yake
Soma hapa...
Tume ya Jaji Lila yataja hadidu za rejea, yaanza kazi
Soma zaidi hapa...
Kauli ya mwisho Lissu akihitimisha majumuisho ya ushahidi mahakamani
Soma hapa...
Mahakama yaisimamisha kamati ya mawakili kusikiliza shauri linalomkabili Mwabukusi
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imeiamuru Kamati ya Kitaifa ya Mawakili kusimamisha mwenendo wa shauri la maadili linalomkabili Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Bon...
Mahakama yakataa kuachilia wanafunzi 8 wa Utumishi Girls
MAHAKAMA Kuu imekataa ombi la dhamana la wanafunzi wanane wa Utumishi Girls Academy wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya wenzao 16 katika mkasa wa moto uliotokea shuleni Mei 28,...
Korti yakataa kuzuia IEBC kuweka kituo cha kuthibitisha matokeo ya kura za urais
MAHAKAMA Kuu imeunga mkono uhalali wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa. Jaji Gregory Mutai al...
Heche akataa barua za tume ya Jaji Chande kuwa vielelezo
Soma zaidi...
Sababu za mahakama kuzima kesi kuhusu zabuni za karatasi za kura 2027
JARIBIO la kampuni ya Oilmax Ventures kupinga zabuni ya uchapishaji wa karatasi za kura za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) limegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kubaini kuw...
Zitto afunguka hukumu rufaa ya Profesa Assad, CAG Kichere
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema rufaa aliyokata kupinga kuondolewa kwa Profesa Mussa Assad katika wadhifa wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Kweka apandishwa kizimbani tuhuma za mauaji ya mkewe
Soma zaidi hapa...
Wawakilishi waikalia kooni Serikali muswada wa sheria ya habari
Soma hapa...
Heche alivyokamilisha utetezi wake dhidi ya Lissu
Soma hapa...
Aliyehukumiwa kunyongwa kwa kumchinja mwanakijiji akwama, rufaa yatupwa
Soma zaidi...
Mahakama yaamuru kampuni ya bima Dar kufungwa, yakwama kulipa Sh12.5 bilioni
Soma zaidi...
DCI Kingai, CDF, IGP walivyomtosa Lissu mahakamani
Soma hapa...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.