Latest updates for Machafuko Kitui Kufuatia Uhasama Wa Kijamii

Fresh curated links around Machafuko Kitui kufuatia uhasama wa kijamii are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Mashambulio yazidi kuzua taharuki Kitui polisi wakikamata waandamanaji
  • Huzuni watu 7 wakiuawa katika ghasia za mpakani Kitui
  • Watatu wafariki, 15 wajeruhiwa vurugu za mgogoro wa ardhi Kibaha

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Mashambulio yazidi kuzua taharuki Kitui polisi wakikamata waandamanaji

TAHARUKI inaendelea kutanda katika mji wa Mwingi, Kaunti ya Kitui pamoja na jamii zinazoishi kando ya barabara kuu ya Mwingi–Garissa kufuatia msururu wa mashambulizi yanayodaiwa ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Huzuni watu 7 wakiuawa katika ghasia za mpakani Kitui

TAHARUKI imetanda katika eneo la Tseikuru, Kaunti ya Kitui baada ya wachungaji wa ngamia kuwaua watu saba. Kamanda wa Polisi wa Tseikuru, Mecha Mogeni alithibitisha uvamizi huo...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Watatu wafariki, 15 wajeruhiwa vurugu za mgogoro wa ardhi Kibaha

Ni hali ya taharuki, simanzi na sintofahamu kwa wakazi wa Lupaso, Kata ya Vikawe, wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani baada ya kuibuka mapigano kati ya wakazi na watu waliotajwa kuwa mab...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

RC Mara atoa maelekezo haya kwa Jeshi la Polisi

Kanali Mtambi amesema kumekuwepo na tabia ya polisi kuchukua hatua baada ya uhalifu kutokea, jambo ambalo amesema limekuwa likisababisha jamii kupata bughudha na usumbufu bila saba...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Familia yakosa usingizi Kitui ikidai kusikia milio, vyombo kusonga vyenyewe

IKUTHA, Kitui HOFU ilitanda katika kijiji kimoja hapa baada ya familia kudai kuvamiwa na nguvu zisizoeleweka usiku wa manane. Watu wa familia walipiga nduru wakidai walisikia mil...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Mauaji Kitui: Serikali yachunguza iwapo magaidi wa Somalia walihusika

MAAFISA wa usalama wanaochunguza mauaji ya watu saba katika kijiji cha Kwa Kamari, Kaunti ya Kitui, sasa wanachunguza uwezekano wa makundi ya kigaidi kuhusika. Duru ya usalama kar...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Madai yafichuka ya hujuma, mvutano katika kikosi cha kulinda Rais

KUTOAMINIANA na hujuma vilichochea mvutano ndani ya Kitengo cha Ulinzi wa Rais hali iliyosababisha mzozo kati ya maafisa wa polisi wa ngazi za chini na wakuu wao na hatimaye kuleta...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Waziri Mkuu aonya wanaotumika kuhujumu utulivu wa nchi

Dk Mwigulu amesema Serikali imebaini kuwepo kwa watu wanaoendesha shughuli za makusudi za kuchochea taharuki katika jamii, huku akiwataka wananchi kuwa makini na taarifa wanazopoke...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kilichosababisha OCS wa kituo cha Central kukamatwa wakati wa maandamano

SAFARI ya kilomita 45 ya Dishan Angoya kutoka Thika Aprili 30, 2026 ilionekana kuwa kilele cha juhudi zake za kazi alipoteuliwa kusimamia moja ya vituo vikubwa na vyenye shughuli n...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Watu wangu msilipize kisasi, Kalonzo arai wakazi kuhusu mauaji

Kiongozi wa chama cha Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, amewataka wakazi wa Kaunti ya Kitui kujizuia kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na wafugaji wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Ukimya unavyoua uhusiano, familia

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

SMZ yaeleza athari za msimamo mkali, wananchi watakiwa kubadilika

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza athari za msimamo mkali ikiwa ni pamoja na kuvurugika kwa usalama wa amani ya nchi, hivyo kuwataka wananchi kuwa makini na makundi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mila potofu zadaiwa kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani

Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda S: Tukio hilo la mauaji lilitokea Machi 20, 2026 kwa watuhumiwa hao kudaiwa kumuua Rashid Nyandonga (31), fundi simu na m...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Pasua kichwa sura mbili za mwelekeo wa maridhiano

Pendekezo la Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuanzishwa kwa Tume ya Kitaifa ya Maridhiano na Mwafaka, li...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Uhasama watokota tena kati ya DCP na Jubilee kuhusu Ol Kalou

UHASAMA wa kisiasa unazidi kutokota kati ya Jubilee na DCP baada ya vyama hivyo viwili kusema vitakuwa na mgombeaji kwenye uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Baada ya DCP kuandaa mchujo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wakazi South C waandamana kuhusu jengo lililowaua watu wawili

MAMIA ya wakazi wa South C waliandamana barabarani  na kuzima shughuli za kibiashara huku wakitaka kukamatwa kwa wanaohusishwa na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16. Wakati wa m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Wakazi waishi kwa hofu makundi ya uhalifu yakiteka mitaa Kilifi

TAHARUKI inaendelea kutanda katika Kaunti ya Kilifi kutokana na tishio la usalama baada ya makundi ya uhalifu kuendelea kutishia wakazi, biashara na sekta ya utalii. Viongozi wame...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kenya yageuka ‘paradiso’ ya vurugu na uhuni

INGAWA watu watatu wanaodaiwa kuhusika na shambulio dhidi ya Seneta wa Vihiga, Godfrey Osotsi, mjini Kisumu, walifikishwa kortini, ukweli unabaki gizani, kwamba wahuni wanaohusishw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Tume yagusa maridhiano, wachambuzi watia neno

Hatimaye pazia limeanza kufunguliwa kuhusu chanzo, madhara na waliokuwa nyuma ya ghasia zilizotikisa nchi wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, baada ya Tume ya Kuchunguza Matu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

‘Upanga’ wenye makali unaokata ODM, UDA

HATUA za vyama vya kisiasa kuwaondoa au kusukuma pembeni viongozi wenye ushawishi zimeanza kuonekana kama upanga wenye makali kuwili, huku wataalamu wakionya kuwa mara nyingi hulet...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Siasa chafu Nyanza sasa zakera wakazi

MIJADALA ya kisiasa katika eneo la Nyanza inazidi kushuka hadhi huku baadhi ya viongozi wakitumia lugha chafu, matusi ya kingono na matamshi ya kudhalilisha kuwashambulia wapinzani...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

SOKOMOKO: Mbunge Kaluma ajiteua nyapara wa boma isiyo yake

MBUNGE wa Homa Bay Town, Peter Kaluma, alijitwika nyapara wa boma isiyo yake kwa wito wake wa kutaka Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, aondolewe mara moja katika wadhifa wake akasah...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Wanne wajeruhiwa katika ghasia za uchaguzi Emurua Dikirr

WATU wanne walijeruhiwa baada ya wafuasi wa Chama cha United Democratic Alliance (UDA) na Democracy for Citizens Party (DCP) kuvurugana katika uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr uliof...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

RPC Mutafungwa atangaza vita kwa watumia mihadarati Ukerewe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa ametangaza operesheni maalumu na isiyo na ukomo dhidi ya wahalifu wanaojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na matuk...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Machafuko Kitui Kufuatia Uhasama Wa Kijamii

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source