Abu Joho azuru maskani Pwani kunyanyua vijana wa mtaa akiendelea kujitambulisha kisiasa
BWANYENYE wa Mombasa, Abu Joho, ambaye pia ni ndugu wa Waziri wa Madini na Uchumi wa Bahari, Hassan Joho, amewahimiza vijana wa Pwani kutokata tamaa maishani na badala yake wajitum...