Kaunti zageuka migodi ya utajiri haramu
Wanapoajiriwa katika serikali za kaunti, wengi wao huingia na vyeti vya kitaaluma, wasifu wa kazi na ahadi za kuhudumia wananchi. Hata hivyo, miaka michache baadaye, baadhi yao huo...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Mabunda Ya Pesa Nyumbani Kwa Afisa Wa Kaunti.
Fresh curated links around Mabunda ya pesa nyumbani kwa afisa wa kaunti are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Wanapoajiriwa katika serikali za kaunti, wengi wao huingia na vyeti vya kitaaluma, wasifu wa kazi na ahadi za kuhudumia wananchi. Hata hivyo, miaka michache baadaye, baadhi yao huo...
Amesema uchunguzi umeonyesha zaidi ya Sh200 milioni zilichotwa kutoka akaunti za maendeleo na Sh250 milioni nyingine kutoka akaunti ya amana ya maendeleo, jambo ambalo limeibua mas...
MAHAKAMA Kuu imefunga akaunti za benki za aliyekuwa Afisa Mkuu wa Mipango wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi, Patrick Analoh Akivaga, baada ya maafisa wa Tume ya Maadili na Kupambana...
KUKAMATWA kwa Bw Patrick Analo Akivaga, Afisa Mkuu wa Mipango ya Miji katika Kaunti ya Nairobi na mmoja wa watu waliokuwa na ushawishi mkubwa katika serikali ya Gavana Johnson Saka...
NAIROBI Mjini KIONGOZI mmoja mwanamke anatikisa vichwa vya watu baada ya kuibuka madai kuwa ana nyumba ya siri ambako hujisitiri na vijana wa kiume. Inasemekana nyumba hiyo imek...
Soma hapa...
MASENETA wameibua wasiwasi kuhusu matumizi ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa makao makuu mapya ya Serikali ya Kaunti ya Homa Bay baada ya Gavana Gladys Wanga kushindwa kue...
KAUNTI tisa nchini zimetumia chini ya asilimia 20 ya bajeti zao za maendeleo katika miezi tisa ya kwanza ya mwaka wa kifedha wa 2025/2026, huku nyingi zikielekeza sehemu kubwa ya f...
Mstaafu wetu anajikuta akifanya kile kinachomshangaza hata yeye mwenyewe, cha kujikuta akikishukuru kibubu cha wastaafu kwa kufanya kilichofanywa na maofisa wake wahusika kuona mwe...
The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) arrested Nairobi County Chief Officer for Urban Development and Planning Patrick Analo Akivaga after detectives found millions of s...
UCHUNGUZI wa Bunge la Kitaifa kuhusu kuelekezwa kwa Sh6.3 bilioni, mapato ya mtandao wa eCitizen hadi Benki ya Equity, umekwama. Hii ni baada ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kuan...
GAVANA wa Nairobi Johnson Sakaja amemsimamisha kazi Afisa Mkuu wa Mipango Miji, Patrick Akivaga Analo, kufuatia kukamatwa kwake na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC), ba...
RIPOTI ya Mdhibiti wa Bajeti imefichua kuwa kaunti 10, zikiwemo Nairobi, Mombasa, Machakos, Wajir na Garissa, ndizo zinazoongoza kwa kuchelewesha malipo kwa wanakandarasi na wauzaj...
Soma hapa...
MWAKA wa 2014, kampuni ya Raindrops Limited ilitia saini mkataba wa thamani ya Sh1 bilioni na Serikali ya Kaunti ya Kilifi wa kukusanya mapato kwa kipindi cha miaka 15. Mkataba hu...
IDARA ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imechukua rasmi uchunguzi wa madai ya wizi wa takriban Sh6.2 bilioni kupitia mfumo wa mishahara ya watumishi wa umma, baada ya Wizara ya Utumishi...
Soma zaidi hapa...
MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Kenya (KRA) inatarajiwa kuanza msako dhidi ya waajiri waliokata ushuru wa Mpango wa Nyumba Nafuu kutoka kwa wafanyakazi wao lakini wakashindwa kuuwasil...
Soma hapa...
Mfanyabiashara Emmanuel Simkamba (40) na Mary Simkamba (60) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shtaka moja la kujipatia Sh55 milioni kwa njia ya udanganyifu...
Soma hapa...
Mfanyabiashara, Abdul Razak Ahmed (37) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kujipatia Sh120 milioni kwa njia ya udanganyifu.
MKAGUZI Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, amefichua jinsi mamia ya wafanyakazi wastaafu wa serikali za kaunti katika kaunti nane wanavyoendelea kupokea mishahara. Ukaguz...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.