Maaskofu waikosoa tena serikali ya Ruto, wasema utendakazi hauridhishi wananchi
MAASKOFU wa Kanisa Katoliki nchini wamekosoa serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William Ruto, wakisema kuwa baadhi ya miradi yake mikuu haionyeshi matokeo ya kuridhisha...