Maandamano yachacha kupinga kituo cha Ebola huku watalii nao wakisusia Laikipia
POLISI jana walirusha vitoa machozi na kuwakamata waandamanaji kadhaa waliokuwa wakipinga ujenzi wa kituo cha kutenga wagonjwa wa Ebola kinachofadhiliwa na Amerika katika Kambi ya...