Maafisa wa michezo wa zamani kushtakiwa kwa Sh330m zilizopotea wakati wa CHAN
ALIYEKUWA Katibu katika Wizara ya Michezo, Peter Kaberia, ni miongoni mwa maafisa 10 watakaofunguliwa mashtaka kutokana na madai ya kupotea kwa Sh330 milioni zilizokuwa zimetengwa...