Latest updates for Mbunge Wa Likoni
Fresh curated links around MBUNGE wa Likoni are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Maoni kinzani ongezeko la nauli
- Mbunge ataka tozo mpya za simu kujenga barabara
- Matarajio ya wananchi baraza la bajeti likianza
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Mbunge ataka tozo mpya za simu kujenga barabara
Pendekezo hilo la Kakoso ni kama ambalo limewahi kutolewa mwaka 2021 na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu la kuanzishwa kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa k...
Matarajio ya wananchi baraza la bajeti likianza
Wakati mkutano wa tatu wa baraza la 11 la wawakilishi ukianza kesho, Mei 6, 2026, wananchi na wadau mbalimbali wameeleza matarajio yao, wakisisitiza umuhimu wa wawakilishi kujikita...
Kauli za wabunge dhidi ya Bunge Marekani zawaibua wadau
Soma zaidi...
INEC yateua 17 kumrithi Lukuvi ubunge Isimani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua makada 17 kutoka kwenye vyama mbalimbali vya siasa kuwania ubunge wa Isimani mkoani Iringa ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa...
Mbunge Ado akutana na magumu bungeni, azua hoja
Hii ni mara ya pili kwa mbunge huyo kukumbana na hali hiyo, baada ya tukio kama hilo kujitokeza alipokuwa akichangia hotuba ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, kuhusu maombi ya fed...
Faida kwa nchi kuwa na Serikali ya kibunge
Soma zaidi hapa...
Daraja latitia, lakata mawasiliano Kwamfipa-Msangani
Wananchi wa maeneo ya Msangani na Kwa Mfipa, wilayani Kibaha, mkoani Pwani wameeleza adha wanayopitia kufuatia kubomoka kwa daraja linalounganisha maeneo hayo na kukata mawasiliano...
Mwakilishi aibua hoja Ma- RC, DC kuwaweka wananchi mahabusu
Mwakilishi wa Tunguu, Simai Mohamed Said (CCM) amesema wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia sheria vibaya kuwaweka watu kizuizini bila sababu za msingi.
Watatu Chaumma wajitokeza kumrithi Lukuvi Isimani
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Upinzani waungana hoja ya Katiba mpya, maridhiano CCM yajibu
Soma zaidi hapa...
Kinachofanya Wabunge kukwama na Mswada wa ushirikishaji Umma
BUNGE linaendelea kujadili masuala yanayohusu Mswada wa Ushirikishaji wa Umma wa mwaka 2025, huku wabunge wakikabiliana na angalau hoja sita zenye utata kabla ya kuupitisha kuwa sh...
Moto wateketeza jengo la Mahakama Lugoba
Wakizungumza na Mwananchi, baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Pwani wamesema tukio hilo limeibua hofu kuhusu usalama wa majengo ya umma, hususan yale yanayohifadhi nyaraka nyeti za kisher...
Zungu aagiza hatua halmashauri zilizokacha kuchukua dawa za mbu
Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameziweka kwenye mabano halmashauri za wilaya ambazo hazikuchukua dawa za kuua viluilui vya mazalia ya mbu katika kiwanda cha Kibaha.
Mamlaka zinasubiri malalamiko ya wananchi na si sheria - 2
Soma hapa....
Kauli ya Wawakilishi ujenzi wa shule za ghorofa Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema licha ya Serikali kujenga miundombinu mikubwa ya elimu, bado kuna kazi ya kuhakikisha inaendana na ubora wa elimu.
Wawakilishi wataka mbinu mpya kutangaza utalii Zanzibar
Mwakilishi wa Wingwi, Kombo Mwinyi Shehe (ACT Wazalendo) amesema ipo haja Serikali kupitia wizara hiyo kujitafakari upya kuona njia wanazotumia kama zinaleta tija iliyokusudiwa.
Ripoti ya CAG yafichua 'bomu' usafiri wa umma
Soma zaidi hapa...
Shughuli za kiuchumi, mawasiliano yarejea Rungwe daraja likikamilika
Huduma za mawasiliano na shughuli za kiuchumi zilizosimama kwa muda, zimerejea kwa wananchi wa Kijiji cha Ibungu wilayani Rungwe mkoani Mbeya baada ya kukamilika ujenzi wa daraja l...
Madiwani Lindi walalamikia ubovu wa barabara
Ameendelea kusema kuwa wakiacha hali hiyo iendelee, wakulima wa ufuta watalazimika kupeleka mazao yao Halmashauri ya Mtama kwa kuwa halmashauri hiyo imeboresha barabara zao.
2027: ODM pabaya vyama vya UDA na Wiper vikipenya eneo la Pwani
ENEO la Pwani ambalo kwa muda limekuwa ngome ya chama cha ODM sasa linaonekana kuponyoka ‘mtego’ was chama cha chungwa ambacho kwa sasa kinakumbwa na mgogoro ndani ya uongozi. V...
Saa 48 za mshikemshike Chadema Arusha, Mbeya
Soma zaidi hapa...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.