Latest updates for Linda Mwananchi Ambako Seneta Wa Nairobi Edwin Sifuna

Fresh curated links around Linda Mwananchi ambako Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Sifuna sasa alenga kusajili Linda Mwananchi
  • Sifuna, washirika wamsukuma msajili akubali Linda Mwananchi kama chama cha kisiasa
  • Linda Mwananchi yazidi kuvutia wawaniaji mbalimbali uchaguzi ukikaribia

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna sasa alenga kusajili Linda Mwananchi

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ameanza mchakato wa kusajili Linda Mwananchi kuwa chama cha kisiasa atakachotumia kuwania urais mnamo 2027. Washirika wa Bw Sifuna wamethibitisha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna, washirika wamsukuma msajili akubali Linda Mwananchi kama chama cha kisiasa

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna na washirika wake Jumanne waliendeleza juhudi zake za kusajili Linda Mwananchi kama chama cha kisiasa watakachotumia kuwania urais mwaka 2027. Viong...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Linda Mwananchi yazidi kuvutia wawaniaji mbalimbali uchaguzi ukikaribia

VUGUVUGU la Linda Mwananchi linazidi kubadili sura ya siasa nchini huku likiwavutia wanaowania ugavana kutoka maeneo mbalimbali ya Kenya. Kilichoanza kama jukwaa la viongozi wal...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Sifuna: Tulinasa simu ya polisi mmoja aliyeshirikiana na wahuni, tutaitumia kama ushahidi

KINARA wa vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi Edwin Sifuna amesema wanayo katika hifadhi yao chombo cha mawasiliano anachosema kilipatikana kwa mwanamume mmoja aliyenaswa na waf...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mkutano mkubwa wa Sifuna Bungoma wachemsha Magharibi Didmus naye akidaiwa kupanga wake

UMAARUFU unaozidi kuongezeka wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umeibua ushindani mkali wa kisiasa katika eneo la Magharibi, huku viongozi wanaounga mkono serikali wakizidisha juhud...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Tangazo la Sifuna kuwa atwania urais latikisa ODM na Upinzani

TANGAZO la Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa atawania urais mnamo 2027 linaendelea kubadili mwelekeo wa siasa za upinzani na ODM, huku viongozi wengi wakianza kujiunga na mrengo...

Read source
allafrica.com /2 weeks ago

Kenya: Sifuna Hints At New Political Vehicle As Linda Mwananchi Faces Registration Hurdle

[Capital FM] Nairobi -- Nairobi Senator Edwin Sifuna has signalled that the Linda Mwananchi movement could abandon the name and move to a different political party as efforts to re...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Wantam: Sifuna atua Meru kwa kishindo!

SIKU chache baada ya kukumbwa na ghasia zilizosababisha vifo katika Kaunti ya Homa Bay, viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi jana walijipigia debe katika Kaunti ya Meru wakisema...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Linda Mwananchi inaponyoka Sifuna? Msajili asema ‘Linda’ na ‘Mwananchi’ yashachukuliwa

MSAJILI wa Vyama vya Kisiasa, John Cox Lorionokou, amefichua kuwa vyama viwili vinavyobeba maneno muhimu yanayotumiwa na vuguvugu la Linda Mwananchi Movement tayari vimo katika mch...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Dalili Nyayo za Kijana Wamalwa na Raila zinamwongoza Sifuna

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna anaendelea kutamba katika ulingo wa siasa. Nyota yake Sifuna inaendelea kung’aa kwenye ramani ya humu nchini kwa mwendokasi wa ajabu. Sifuna ni mw...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpango wa kutimua Sifuna ulivyosukwa usiku wa manane baada ya ziara Ikulu

KIKAO cha kundi la wabunge kilichojawa na vurugu usiku wa manane Jumatano kilisababisha pigo jingine kwa Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna. Baada ya kikao hicho, jana katibu huyo wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM imekufa kisiasa,inaendeshwa na Ikulu -Sifuna

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna amesema chama cha ODM kimepoteza mwelekeo wake wa kisiasa na sasa maamuzi yake yanafanywa kutoka Ikulu. Akizungumza jana akiwa na Gavana wa Siaya,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Linda Mwananchi yalenga ngome za Raila ambazo ODM inapambana kuzihifadhi kwa ajili ya Ruto

BAADA ya kufanya mikutano iliyofanikiwa katika kaunti za Bungoma na Trans Nzoia wiki mbili zilizopita, viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi sasa wamehamishia kampeni zao katika...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Salasya sasa adai Sifuna hana umaarufu kisiasa

HUKU viongozi vijana wakichangamkia kuimarika kwa umaarufu wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya amepuuzilia mbali matokeo ya kura ya maoni u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wantam: Sifuna aoshewa lami, apokelewa kishujaa Bungoma

KIFO cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kimebadilisha kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa siasa za Kenya, huku Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna akiibuka kama mmoja wa viongozi wanaotik...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sakaja na Aladwa pabaya Nairobi wabunge wa ODM wakianza kuunga Babu hadharani

CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Tiketi ya Sifuna–Kalonzo yaendelea kupigiwa debe

UCHAGUZI Mkuu wa 2027 unapokaribia, upinzani unaanza kuashiria mwelekeo wa kuungana na vuguvugu la Linda Mwananchi, huku mjadala kuhusu nani atabeba bendera ya urais ukizidi kupamb...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Itakuwa kibarua ODM kuwika ngome ya Mulembe baada ya kumtimua Sifuna

ODM sasa ina kibarua kudumisha umaarufu wake Magharibi mwa nchi baada ya kukamilisha mchakato wa kumwondoa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kutoka wadhifa wake kama katibu mkuu. B...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Sifuna na Orengo wazika tofauti zao za kisiasa kuelekea 2027

GAVANA wa Siaya, James Orengo na Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, wameanza juhudi za kupunguza mvutano uliokuwa ukiongezeka ndani ya vuguvugu la Linda Mwananchi baada ya wiki moja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mvutano wazuka kuhusu usajili wa Linda Mwananchi

MVUTANO kuhusu usajili wa chama kipya cha kisiasa cha Linda Mwananchi Party umechukua mwelekeo mpya baada ya mawakili wa Charles Wanyonyi, aliyekuwa wa kwanza kujaribu kukisajili k...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Sifuna awatikisa Mudavadi, Atwoli; waanza ziara Magharibi kumtetea Ruto kwa wananchi

WIMBI la kisiasa la Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupitia vuguvugu la Linda Mwananchi limewafanya baadhi ya viongozi wakuu wa serikali kutoka eneo la Magharibi kuanza kampeni kali...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Luhya Elders Dump ODM to Endorse Edwin Sifuna for President

The Luhya Elders Forum endorsed Nairobi Senator Edwin Sifuna as its preferred opposition presidential candidate for the 2027 general election, citing his leadership skills and broa...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Former CS Joins Sifuna’s Linda Mwananchi After Ditching UDA

This comes at a time when Sifuna's allies continue to be removed from various parliamentary committees over their allegiance to the opposition.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Orengo: Mimi ndio nimeiva kuwa rais na nitashindana na Sifuna kwa tiketi 2027

GAVANA wa Siaya James Orengo amemtaka Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na wagombeaji wengine ndani ya Linda Mwananchi kukubali uteuzi wa wazi wanaposaka mwaniaji wao wa urais kueleke...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Linda Mwananchi Ambako Seneta Wa Nairobi Edwin Sifuna

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source