Changamoto za Linda Mwananchi kuhifadhi jina baada ya chama tofauti kupewa jina ‘LINDA’
HUENDA hakuna chama cha kisiasa nchini kinachofahamu umuhimu wa kulinda chapa yake kuliko Orange Democratic Movement (ODM). Waanzilishi wake bado wanakumbuka jinsi kuchelewa kusaj...