Kibarua kwa viongozi wa upinzani wakilenga kumng’oa Ruto 2027
VIONGOZI wa upinzani wanakabiliwa na presha kubwa kuthibitisha kwa vitendo umoja wao na uthabiti wa kisiasa kumpa Rais William Ruto ushindani mkali katika azma ya kutetea kiti chak...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Kupambana Na Ruto.
Fresh curated links around Kupambana na Ruto are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
VIONGOZI wa upinzani wanakabiliwa na presha kubwa kuthibitisha kwa vitendo umoja wao na uthabiti wa kisiasa kumpa Rais William Ruto ushindani mkali katika azma ya kutetea kiti chak...
KINYANG'ANYIRO cha urais wa 2027 kimeanza kushika kasi, lakini nyuma ya pazia kuna pambano jingine lenye uzito mkubwa kumchagua mgombea mwenza. Muungano wa Kenya Kwanza unaoong...
UCHAGUZI Mkuu wa 2027 umeibua hali ya kipekee katika siasa za Kenya. Rais William Ruto anaingia katika kipindi cha mwisho cha muhula wake wa kwanza akiwa amepoteza sehemu kubwa...
SIASA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 zimechukua mkondo mpya huku mrengo wa upinzani ukiwa na nafasi nzuri ya kumbwaga Rais William Ruto ikiwa itaungana na kumteua mgombea mmo...
Soma zaidi...
HUKU viongozi wa upinzani wakiharakisha juhudi za kuunda muungano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027, changamoto kubwa si tena iwapo wataungana kumpinga Rais William Ruto, b...
VIONGOZI wanaounga mkono serikali jumuishi Ijumaa walifanya mkutano mkubwa wa kisiasa mjini Eldoret kumpigia debe Rais William Ruto 2027 huku wakianza pia kuweka msingi wa siasa za...
MIEZI kadhaa baada ya Rais William Ruto na mwenyekiti wa Kanu Gideon Moi kuonekana wakisalimiana kwa bashasha huko Kabarak na kuahidi kushirikiana chini ya serikali jumuishi, viong...
NAIROBI ilipokuwa chini ya ulinzi mkali Wakenya wakiadhimisha miaka miwili tangu maandamano ya Gen Z, Rais William Ruto alitembelea mradi unaoendelea wa ujenzi wa Bomas of Kenya na...
ALIYEKUWA Gavana wa Bomet, Isaac Ruto, ametangaza kuwa ana imani atashinda uteuzi wa UDA na kurejelea kiti chake katika uchaguzi mkuu 2027. Bw Ruto alisema kuwa uchaguzi wa mashin...
KIONGOZI wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema muungano wa upinzani hautamtangaza atakayepeperusha bendera ya urais 2027 mapema kwa hofu kwamba atalengwa na serikali na kutes...
VIONGOZI wa upinzani wanapaswa kusuluhisha mizozo yao na kuendesha mijadala kwa faragha, ili kusitiri mapungufu yanayoweza kudhoofisha taswira yao mbele ya umma. Kwa sasa, misima...
VIONGOZI wa ODM kutoka Kaunti ya Homa Bay ambao walikuwa na uhasama wameahidi kuungana ili kupiga jeki juhudi za kumtafutia Rais William Ruto kura eneo hilo. Waziri wa Fedha John...
JOTO la kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 linavyozidi kupanda, Rais William Ruto anaonekana kuweka matumaini makubwa ya kisiasa katika miradi miwili mikubwa ya miundombi...
MAWAZIRI wa Michezo na Vijana, Bw Salim Mvurya, mwenzake wa Madini, Bw Hassan Joho, pamoja na Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, wamewahimiza wakazi wa pwani kumuunga mkono Rais Wil...
MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou leo yatatoa mwelekeo wa kisiasa katika eneo lenye idadi kubwa ya wapigakura la Mlima Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ni kat...
WAZIRI wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, ametangaza sharti la mkataba wa kisiasa kati yake na Rais William Ruto, ili amuunge mkono kwa awamu ya pili ya uongozi 2027....
RAIS William Ruto Ijumaa alizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara vijana (NYOTA), katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mawaziri na maafisa wengine...
BAADHI ya maafisa wa ngazi ya juu serikalini wameunda vuguvugu la kuvumisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto tena katika uchaguzi mkuu wa 2027. Kundi hilo linafahamika kama Jam...
VIONGOZI wa upinzani Ijumaa walianza ziara ya siku tatu katika eneo la Magharibi mwa Kenya wakimshutumu Rais William Ruto kwa kile walichodai ni kusaliti jamii ya Waluhya baada ya...
RAIS William Ruto aliingia madarakani mnamo 2022 kwa ahadi ya kuongoza serikali inayozingatia utawala wa sheria. Aliwahakikishia Wakenya mara kwa mara kwamba amri za mahakama zing...
USALAMA jana uliimarishwa katika mikutano ya Rais William Ruto eneo la Pwani, siku moja baada ya kijana kumfikia jukwaani bila kuzuiwa na walinzi wake. Tukio hilo lilifanya Naibu...
VIONGOZI kutoka Magharibi mwa Kenya sasa wanamtaka Rais William Ruto amchukue Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi au Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kama mgombea-mwenza...
MGOMBEA urais wa chama cha United Green Movement (UGM), David Maraga, ametoa wito kwa vyama vya upinzani kuungana kwa misingi ya maadili, utawala wa sheria na kuheshimu Katiba, aki...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.