Latest updates for Kundi La United Opposition

Fresh curated links around Kundi la United Opposition are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Masuala tisa yanayotatiza mrengo wa upinzani uchaguzi wa 2027
  • MAONI: Dalili ziko wazi Muungano wa Upinzani hauna mshikamano
  • Opposition Unveils New Strategy to Defeat UDA in Ol Kalou By-Election

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Masuala tisa yanayotatiza mrengo wa upinzani uchaguzi wa 2027

SIASA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 zimechukua mkondo mpya huku mrengo wa upinzani ukiwa na nafasi nzuri ya kumbwaga Rais William Ruto ikiwa itaungana na kumteua mgombea mmo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

MAONI: Dalili ziko wazi Muungano wa Upinzani hauna mshikamano

MUUNGANO wa upinzani umeangukiwa na mizimwi ya dhiki chungu nzima za kisiasa. Muungano huo umeendelea kubanwa katika kuandaa mikutano huru kwa kushambuliwa na wahuni mara kwa mara...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Opposition Unveils New Strategy to Defeat UDA in Ol Kalou By-Election

The announcement comes exactly seven days after IEBC cleared nine candidates to vie for the Ol-Kalou by-election, with the majority of those cleared coming from the opposition.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Fedha za vyama zinavyowang’oa vigogo upinzani

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Upinzani nao wazindua ‘Bajeti’ ya Mwananchi: ‘Tutafyeka nusu matumizi ya Ikulu’

MUUNGANO wa upinzani jana ulizindua kile ulichokiita Bajeti ya Wananchi na kuwataka wabunge kukataa Bajeti ya Serikali ya Sh4.82 trilioni pamoja na Mswada wa Fedha wa 2026, ukisema...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mvutano kati ya Munya na Linturi watishia mikutano ya United Opposition Meru

VIONGOZI wa upinzani Kaunti ya Meru wameingia katika mvutano wa kisiasa na vita vya ubabe, hali inayotishia kuvuruga mikutano ya kisiasa inayopangwa kufanyika eneo hilo. Kiongozi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Oburu na Sifuna wawania ngome za ODM

MAKUNDI hasimu ndani ya Orange Democratic Movement (ODM) yameongeza kasi ya shughuli zao za kisiasa mashinani katika mbio za kuwania udhibiti wa ngome za jadi za chama hicho kuelek...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

2027: Siasa za ubabe zatikisa mrengo wa Linda Mwananchi na ule wa upinzani

HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 days ago

Upinzani unahitaji umoja thabiti kabla ya 2027 au ikulu isalie ndoto ya mchana

VIONGOZI wa upinzani wanapaswa kusuluhisha mizozo yao na kuendesha mijadala kwa faragha, ili kusitiri mapungufu yanayoweza kudhoofisha taswira yao mbele ya umma. Kwa sasa, misima...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wa upinzani watua Magharibi kuuza sera

VIONGOZI wa upinzani Ijumaa walianza ziara ya siku tatu katika eneo la Magharibi mwa Kenya wakimshutumu Rais William Ruto kwa kile walichodai ni kusaliti jamii ya Waluhya baada ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wanaositasita kuhamia upinzani wakisubiri dakika za mwisho wapewa onyo kali

UCHAGUZI mkuu wa 2027 ukikaribia viongozi wa kisiasa wanaosita kuhamia upinzani wakisubiri dakika za mwisho wameanza kupewa onyo kali. Katika maeneo mbalimbali vinara wa upinzani...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kibarua kwa viongozi wa upinzani wakilenga kumng’oa Ruto 2027

VIONGOZI wa upinzani wanakabiliwa na presha kubwa kuthibitisha kwa vitendo umoja wao na uthabiti wa kisiasa kumpa Rais William Ruto ushindani mkali katika azma ya kutetea kiti chak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Yabainika ni moto nyuma ya pazia kila mmoja akijiamini anaweza ‘kupambana na Ruto’

HUKU viongozi wa upinzani wakiharakisha juhudi za kuunda muungano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027, changamoto kubwa si tena iwapo wataungana kumpinga Rais William Ruto, b...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpasuko watokota Linda Mwananchi

Miezi michache baada ya kujitokeza kama moja ya sauti kali zaidi za upinzani dhidi ya Rais William Ruto, vuguvugu la Linda Mwananchi sasa linakabiliwa na changamoto ambayo inaweza...

Read source
kenyans.co.ke /4 days ago

Gachagua Reveals Final Step Before Unveiling United Opposition Candidate

The opposition has maintained that it will field a single presidential candidate in 2027 to challenge Ruto, but the group is now faced with internal wranglings as realignments eme...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpasuko kambi ya Oburu huku Junet, Millie, Ruth na Otiende wakikosa mkutano

MKUTANO wa ODM ambao uliandaliwa Kisumu Jumapili umeanika nyufa ndani ya mrengo wa chama hicho unaoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga na wandani wake. Baadhi ya viongozi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Khalwale azindua chama, asema analenga wanasiasa watakaopoteza makao vyama vikubwa

SENETA wa Kakamega, Dkt Boni Khalwale amesema kuwa amesajili chama kipya ambacho kitawapa makao wanasiasa waasi wa vyama vikubwa nchini. Kwenye mahojiano na Taifa Leo, Dkt Khalwal...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

2027: Karua afunguka kuhusu upinzani

HUKU muungano wa upinzani nchini Kenya ukiekea hatua muhimu ya kuchagua mgombea mmoja wa urais atakayemkabili Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027, mmoja wa vigogo wake a...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ushawishi wa Linda Mwananchi wazua wasiwasi ndani ya Upinzani

KUIMARIKA kwa ushawishi wa kundi la Linda Mwananchi pamoja na kauli zinazotofautiana kutoka kwa baadhi ya viongozi wake kunazidi kuibua maswali kuhusu mwelekeo wa upinzani huku uch...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

“Old Guys Have Invaded Us”: Amisi Warns Against Folding Linda Mwananchi Into United Opposition

Saboti MP Caleb Amisi has eased his position on plans to form an alternative political movement, saying he remains fully committed to Linda Mwananchi. The outspoken lawmaker said h...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinamizi lavisubiri vyama vikuu nchini

MIEZI 15 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, vyama vya kisiasa vimejikuta katika hali ngumu ya kusawazisha maslahi ya wanachama wao wa muda mrefu na kuwakaribisha wanasiasa wapya wenye...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ubabe: Linda Mwananchi yawika Linda Ground ikififia

VUGUVUGU la Linda Mwananchi limeanza kuwika tena huku Linda Ground ikionekana kufifia, taswira inayodhihirisha mabadiliko mapya ya kisiasa yanayozidi kuchipuka kuelekea uchaguzi mk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Onetam! Keter ajiunga na Linda Mwananchi ngome ya Ruto ikichemka

ALIYEKUWA Mbunge wa Nandi Hills, Alfred Keter, ameinuka tena kisiasa baada ya kipindi kirefu cha ukimya, akilenga kuvuruga ushawishi wa chama cha UDA kinachoongozwa na Rais William...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Kalonzo, Karua, Maraga na Wamalwa wajiunga na maandamano, waelekea majengo ya Bunge

Viongozi wa upinzani wamejitokeza katikati mwa jiji la Nairobi kuungana na familia za waathiriwa wa maandamano ya Gen Z  miaka ya 2024 na 2025. Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyok...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kundi La United Opposition

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source