Polisi aliyekufa baada ya gwaride Madaraka Dei alipata mshtuko wa moyo
AFISA wa polisi wa Kitengo cha General Service Unit (GSU) ambaye alianguka na kufariki muda mfupi baada ya kushiriki gwaride la sikukuu ya Madaraka wakati wa sherehe za kitaifa zil...