Matumaini Taita Taveta shehena ya kwanza ya madini ikifika kiwanda kipya cha chuma, Devki Steel Mills
KAUNTI ya Taita Taveta imepiga hatua muhimu katika azma ya kujikuza kiviwanda, baada ya shehena ya kwanza ya madini ghafi ya chuma kusafirishwa kutoka ranchi ya Kishushe hadi kiwan...