Wakazi raha tele kufuatia habari kiwanda kilichokuwa kijengwe Tanzania sasa kitajengwa Lamu
VIONGOZI na wakazi wa Kaunti ya Lamu, wameeleza matarajio makubwa ya ukuaji wa kiuchumi kutokana na uamuzi wa mfanyabiashara mashuhuri kutoka Nigeria, Bw Aliko Dangote, kutaka kuje...