Wakora sasa watawala kituo cha mabasi cha Green Park Terminus kilichogharimu Sh250 milioni
UCHUNGUZI umeibua madai kuwa Kituo cha mabasi cha Green Park jijini Nairobi, kilichojengwa kwa gharama ya Sh250 milioni ili kupunguza msongamano wa magari katikati mwa jiji, kinadh...