Iran yaonya maadui wake wasithubutu kitu wanapomzika Ayatollah Khamenei
TEHRAN, Iran: KAMANDA wa Jeshi la Iran amezionya nchi za Amerika na Israel zisithubutu kushambulia taifa hilo linapojiandaa kuandaa mazishi ya kitaifa kwa Kiongozi wake wa Kidini...