Latest updates for Kindiki Asaka Ushawishi Mlimani

Fresh curated links around Kindiki asaka ushawishi Mlimani are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kindiki afanya zaidi ya ziara 30 Mlimani kusaka ushawishi
  • Kutawazwa kwa Kindiki kwazua mvutano Mlimani
  • Kindiki sasa aelekea Mlima Kenya Magharibi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kindiki afanya zaidi ya ziara 30 Mlimani kusaka ushawishi

KWA miezi 10 iliyopita, Naibu Rais Kithure Kindiki amefanya zaidi ya ziara 30 katika eneo lake la nyumbani Mlima Kenya, kukagua miradi ya maendeleo au kufuta ushawishi wa wapinzani...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kutawazwa kwa Kindiki kwazua mvutano Mlimani

Washirika wa Rais William Ruto wanaonekana kuwa na nafasi muhimu katika juhudi za kumuinua Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya. Hafla ya Ju...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kindiki sasa aelekea Mlima Kenya Magharibi

NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki anatumia baraka za wazee waliomteua kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya kupanua ushawishi wake katika Mlima Kenya Magharibi, ambako utawala wa Ra...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kindiki asihi mlima kumwamini aupeleke ‘canaan’

NAIBU wa Rais Kithure Kindiki amewaomba wapiga kura wa Mlima Kenya wamwamini kuwaongoza katika mazungumzo ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Prof Kindiki alisema e...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mfahamu Dk Nchimbi aliyejiuzulu Umakamu wa Rais

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wa DCP wawaka kuhusu kutawazwa kwa Kindiki Mlimani

VIONGOZI wa DCP wamepinga kutawazwa kwa Naibu Rais Prof Kithure Kindiki kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya, wakisisitiza kuwa uongozi wa kisiasa huamuliwa na wananchi wala si waze...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Dk Nchimbi atangaza kujiuzulu umakamu wa Rais

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mnafaa kuheshimu wazee walionitawaza, Kindiki aambia wakosoaji

NAIBU Rais Kithure Kindiki amewataka viongozi wa Mlima Kenya kuwaheshimu wazee na kusikiza wito wao wa umoja, akisema tofauti za kisiasa hazifai kuruhusiwa kuvunja jamii ambayo ime...

Read source
mwananchi.co.tz /5 days ago

Ndejembi amwombea kura Dk Ndilito uchaguzi Chamwino

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amewaomba wananchi wa Jimbo la Chamwino kumchagua kwa kishindo mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Netho...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Polisi wazima jaribio la kutibua mkutano wa Profesa Kindiki

POLISI wa kutuliza ghasia Jumamosi walizuia jaribio la kundi la vijana kuvuruga mkutano wa kisiasa wa Naibu Rais Kithure Kindiki katika Uwanja wa Nembure, Kaunti ya Embu. Maafis...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Kutawazwa kwa Kindiki kwagawanya wazee

KUTAWAZWA kwa Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa Mlima Kenya kumeibua mgawanyiko katika Baraza la Wazee la Kiama Kia Ma, huku makundi mawili yakidai kuwa ndiyo yenye mamlak...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kiingereza kinavyoficha uwezo wa wanafunzi vyuo vikuu

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Dai huenda Ruto akamtema Kindiki kabla ya 2027

NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki huenda asiwe mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027, Mbunge wa Ndia George Kariuki amedai. Bw Kariuki, ambaye ni msh...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mnyika alivyotumia siku nne kumtetea Lissu

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kiti kinachojaa mikosi Afrika Mashariki

Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi na hatimaye kufukuzwa katika chama tawala cha CCM kumefufua mjadala mkubwa kuhusu kiti cha wagombea wenza na wasaidiz...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Makamu wa Rais Ndejembi aahidi kufanya kazi kwa uadilifu, uzalendo

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki aapa kutoana jasho na ODM kutetea wadhifa wake 2027

NAIBU Rais, Profesa Kithure Kindiki Ijumaa aliambia chama cha Orange Democratic Movement (ODM), kinachoongozwa na Seneta wa Siaya Oburu Oginga, kwamba hawezi kuondolewa kirahisi, n...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua sasa ‘ammaliza’ Uhuru Mlimani na Nairobi

CHAMA cha DCP kinachoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kinazidi kujitokeza kama tishio kubwa kwa Jubilee, chama cha aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta, huku kikivamia ngo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Uhuru aibuka mwiba kwa Gachagua Mlimani

VITA vya kisiasa vya kudhibiti Mlima Kenya vinaingia awamu mpya huku aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akijaribu kuimarisha ushawishi wake katika eneo hilo kuelekea uchaguzi wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Digrii ya Didmus ya uhandisi ni feki, hakuwahi kuwa mwanafunzi wetu – Chuo cha JKUAT

CHUO Kikuu cha Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) kimesema Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, hakuwahi kuwa mwanafunzi chuoni humo wala hakikumtunuku sh...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Heche alivyokamilisha utetezi wake dhidi ya Lissu

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Jaji Warioba afichua alichozungumza na Dk Nchimbi kabla, baada ya kujiuzulu

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Rais Mwinyi aongoza mamia kisomo hitma mume wa Rais Samia

Soma hapa..

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Profesa Mmari alivyoacha alama vyuo vikuu

Baadhi ya wakuu wa vyuo vikuu, wamemtaja Profesa Geoffrey Mmari kuwa miongozo mwa Watanzania waliochangia kujenga taasisi za elimu ya juu nchini.

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kindiki Asaka Ushawishi Mlimani

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source