Latest updates for Kilimo Cha Miwa Ya Kutafuna

Fresh curated links around Kilimo cha miwa ya kutafuna are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Apata tija katika kilimo cha miwa kama ‘tunda’ la kutafuna na kukamua juisi
  • Mimea vamizi yaathiri maeneo ya malisho nchini
  • Wafugaji Simiyu wahimizwa kuwekeza katika mashamba ya malisho

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Apata tija katika kilimo cha miwa kama ‘tunda’ la kutafuna na kukamua juisi

WADI za Ibeno na Keumbu katika eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii ni maarufu sana katika ukuzaji wa miwa ya kutafuna. Unapozuru maeneo hayo kwa mara ya kwanza, utakari...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mimea vamizi yaathiri maeneo ya malisho nchini

Jamii za kifugaji zimetakiwa kuboresha usimamizi wa malisho ili kufufua afya ya nyanda za malisho na kupunguza kiwango cha hewa ukaa angani.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wafugaji Simiyu wahimizwa kuwekeza katika mashamba ya malisho

Wakati changamoto ya uhaba wa malisho ikiendelea kuathiri uzalishaji wa mifugo, Serikali na wadau wake wameibuka na mkakati mpya wa kuhamasisha wafugaji kuanzisha mashamba ya malis...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi ya kulima nyasi ya Juncao

JUNCAO ni teknolojia mpya ya nyasi za mifugo ambayo taifa likiikumbatia kikamilifu huenda itaipa sekta ya ufugaji Kenya afueni hasa kipindi hiki bei ya malisho inazidi kuwa ghali....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi ya kulima stroberi

ANTHONY Ngatia, mkulima barobaro kutoka Kaunti ya Kiambu, amekuwa akikuza stroberi tangu mwaka 2024, na kuifanya matunda hayo kuwa chanzo chake kikuu cha mapato. Kwa muda, mkulima...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Jinsi kilimo cha hoho kinavyompiga jeki mashinani

TAKRIBAN kilomita tatu kutoka barabara ya Elburgon-Njoro, tulifika kwenye mpaka wa mashamba ya Tegat na Nyakiambi katika Kaunti Ndogo ya Molo ambapo Susan Wairimu hukuza pilipili h...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wakulima wa kahawa watakiwa kuachana na kilimo cha mazoea

Serikali imewataka wakulima wa kahawa nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kuzingatia kilimo cha kisasa chenye tija ili kuongeza uzalishaji, kuboresha ubora wa kahaw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mwelekeo mpya bei ya Cocoa

Wakati matumaini yakirejea kwa wakulima wilayani Kyela kufuatia bei ya cocoa kupanda, wadau na Serikali wametaja mikakati na mipango kuhakikisha zao hilo linaendelea kupaa, huku wa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 days ago

Mbarali yatarajia kuvuna tani 430,452 za mpunga, masoko yatajwa

Kufuatia uwekezaji wa Serikali katika kuboresha miundombinu ya sekta ya kilimo, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, inatarajia kuzalisha tani 430,452 za mpunga katika ms...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Wakulima Momba waridhia kuuza ufuta kwa wastani wa Sh2,714.90

Bei iliyopatikana pia imepokewa vyema na wakulima, bei ya juu ikiwa Sh2,740 na ya chini Sh2,655 na hivyo kupata wastani wa Sh2714.90 kwa kilo moja.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Tunda la kiwi na faida zake kwa afya mwilini

MATUNDA ya kiwi huwa nadra kupatikana, lakini huenda umekumbana nayo sokoni, katika maduka ya matunda au hata yakichuuzwa barabarani. Matunda ya kiwi yenye ngozi inayosheheni viny...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mgomo wa matatu dhidi ya mafuta ulivyonogesha biashara yake ya miwa

MGOMO wa wahudumu wa matatu ambao umesitishwa kwa muda wa siku saba ukiendelea, baadhi ya wachuuzi wa bidhaa za kula katika Kaunti ya Nairobi walitumia jukwaa hilo kuvuna hela. Mm...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Iringa yaandaa maonyesho ya kilimo kuwanufaisha wakulima

Mkoa wa Iringa umepanga kufanya maonyesho ya kilimo kuanzia Julai 13 hadi 19, 2026 katika viwanja vya Kihesa Kilolo ili kuinua sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya c...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Unafahamu kuwa chakula na maji unayokunywa yanatokana na nyuki?

KATIKA kipindi hiki cha mabadiliko ya tabianchi, uzalishaji wa chakula duniani unazidi kuwa kwenye njiapanda na hatarini. Lakini mbali na ukame, mvua zisizotabirika na gharama ya u...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Maziwa ya nyuki yatakavyokuchelewesha kuzeeka

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Tanzania yawekeza kwenye ubora soko la ufuta duniani

Serikali na wadau wamesisitiza kuimarishwa kwa ubora wa zao hilo katika soko ambalo ushindani wake umeendelea kuongezeka katika medani ya kimataifa.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ukuzaji nduma unavyoweza kuondoa mkulima kutoka lindi la umaskini

MWAKA 2018, Sammy Momanyi, 38, alirejea nyumbani kwao kijijini Mwamaranga-Rikendo, eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii kutoka eneo la Naivasha alikokuwa ameajiriwa kazi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ufugaji wa viwandani unavyochochea athari za tabianchi

UFUGAJI wa wanyama kwa wingi katika eneo ndogo maarufu kama factory farming, unazidi kulaumiwa kwa kuchangia mabadiliko ya tabianchi, uharibifu wa bioanuwai (biodiversity) na afya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

UFUGAJI: Mtindo wa kisasa wa kutunza ndama anapozaliwa kuzuia vifo na maradhi

HARAKATI za ufugaji, zinamhitaji mfugaji wa ng'ombe kutumia utaratibu na kanuni bora ili kutengeneza kizazi kizuri cha mifugo wake kwa siku zijazo. Harakati hizi zinajumuisha pia...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Wakulima wa ufuta Songwe waingiza Sh3 bilioni mnada wa kwanza

Wakulima wa ufuta katika Mkoa wa Songwe wameingiza zaidi ya Sh3 bilioni kwenye mnada wa kwanza wa ufuta wa msimu wa biashara wa 2026/27 uliofanyika Ijumaa, Mei 8, 2026.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

‘Nyama ya bata ni tamu’: Jinsi ufugaji wa mabata unalipa ukifanywa vyema

SUSAN Wairimu Kamau, ni mfugaji mabata aina ya Muscovy katika eneo la Elburgon, Kaunti ya Nakuru. “Mwaka wa 2020, nilishawishiwa kuanza kilimo hiki cha kufuga mabata na rafiki yan...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Akili Mali: Siri ya kuwa milionea kwa kukuza vitunguu

VITUNGUU ni kati ya mimea inayochukua muda mfupi kukomaa inayokuzwa na wakulima wengi nchini hasa wenye chanzo cha maji, japo hawajaweza kuziba pengo la uzalishaji. Hilo, linalazi...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kilimo Cha Miwa Ya Kutafuna

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source