Kijiji chashtuka kijana, 19, akimuua mwanafunzi, 16, na kisha kujitia kitanzi katika mzozo wa kimapenzi
WAKAZI wa kijiji cha Ntana, Mugirango Kaskazini Kaunti ya Nyamira wanaomboleza kifo cha msichana ambaye alidungwa kisu na mpenziwe kisha baada ya kutekeleza mauaji kijana huyo akaj...