Latest updates for Kibagendi Mashakani

Fresh curated links around Kibagendi mashakani are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Wetang’ula hatarini kusimama kizimbani kwa kupuuza agizo la kumkubali Kibagendi
  • Wagonjwa wa Ukimwi wahepa matibabu kwa hofu ya kushukiwa kushiriki ushoga
  • Mtandao wa siri wa utoaji mimba Dar huu hapa

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wetang’ula hatarini kusimama kizimbani kwa kupuuza agizo la kumkubali Kibagendi

SPIKA wa Bunge la Kitafa Moses Wetang’ula huenda akabururwa kortini baada ya kundi la wabunge wa upinzani kuanzisha mchakato wa kumfungulia mashtaka kwa kukaidi amri ya korti kuhus...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Wagonjwa wa Ukimwi wahepa matibabu kwa hofu ya kushukiwa kushiriki ushoga

DAKAR, Senegal: IMEBAINIKA kuwa wagonjwa wachache wanatembelea vituo vya kupima maambukizi ya Ukimwi kutokana na kamatakamata zinazolenga mashoga Senegal. Maafisa wa Sekta ya Af...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mtandao wa siri wa utoaji mimba Dar huu hapa

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mila potofu zadaiwa kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani

Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda S: Tukio hilo la mauaji lilitokea Machi 20, 2026 kwa watuhumiwa hao kudaiwa kumuua Rashid Nyandonga (31), fundi simu na m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

BI TAIFA — ANN KERUBO

Ann Kerubo, 20, ni mpambe jijini Nairobi. Uraibu wake ni kusakata densi, kushiriki uanamitindo, kuchora na kusafiri. PICHA|BILLY OGADA

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mganga wa kienyeji anayedaiwa kumuua mwanafunzi IFM kortini

Mganga wa kienyeji, Said Mkomwa (31), Saidini, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na shtaka moja la mauaji.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Shahidi afichua mazishi ya kinyama Kwa Binzaro, ya miili kuachwa kuliwa na wanyama porini

KESI ya mhubiri Paul Mackenzie na Sharleen Temba Anindo ya uhalifu dhidi ya binadamu kuhusu vifo Kwa Bi Nzaro imeanza Mombasa, ikiashiria hatua ya kihistoria katika mfumo wa haki n...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mackenzie ‘arekebisha’ orodha ya mashahidi, aondoa Padri na Shekhe

MHUBIRI Paul Mackenzie amebadilisha mkakati wake wa kujitetea dhidi ya mashtaka ya mauaji ya Shakahola, akitangaza wazi kwamba atategemea ushahidi wa wataalamu kutoka nyanja zisizo...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Mabaunsa wajitenga na uhalifu, wafafanua tofauti na bodigadi

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wawili mbaroni kwa tuhuma za mauaji, maiti yaokotwa shambani

Mtoto wa marehemu Kashinje Selemani, amesema baada ya kupata taarifa alikwenda nyumbani na kukuta tukio hilo kisha kuelezwa kuwa alifika hapo nyumbani mtu ambaye hawamfahamu na kuz...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Watumishi wafikishwa mahakamani ubadhirifu fedha za mirathi Sh261 milioni

Mashauri matano ya uhujumu uchumi yamefunguliwa dhidi yao.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wadau wafunguka mfungwa aliyepewa vifaa kuanza maisha uraiani

Hatua ya Rashid Shemndorwa, aliyetumikia kifungo cha miaka 15 jela, kukabidhiwa vifaa vya kuanza maisha uraiani imeibua mjadala kuhusu namna bora ya kuwasaidia wafungwa wanapotoka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mishi Mboko aomba Waziri Murkomen akomesha unyanyasaji dhidi ya wanawake

MBUNGE wa Likoni, Mishi Mboko ameomba Waziri wa Usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kuingilia kati na kukomesha ukatili dhidi ya wanawake katika Kaunti ya Mombasa. Bi Mboko alia...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Jela maisha kwa kukutwa na bangi kilo 109

Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Morogoro imemuhukumu kifungo cha maisha jela, Rajabu Mijinga baada ya kuthibitishwa kuhusika na usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya bangi zenye uz...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mradi unaosuasua unavyoning’iniza matumaini ya wananchi, Kigoma

Wananchi wa Kata ya Kibirizi, eneo ambalo mradi huo unatekelezwa, wanasema licha ya kuhamishwa tangu mwaka 2015 kupisha ujenzi huo, hakuna maendeleo ya kuridhisha yaliyofanyika had...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Simulizi ya Shemndolwa aliyemaliza kifungo na maisha mapya ya ufundi

Miaka 15 iliyopita, Rashid Shemndolwa maarufu Zunde aliingia gerezani akiwa kijana wa miaka 22, akiwa na ndoto zilizokatizwa na hukumu ya kifungo kirefu.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mfanyabiashara matatani kwa uchimbaji mahandaki bila kibali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Evance Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula, Kata ya Nyamhongolo, Wilaya ya Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wafanyabiashara wawili kukamatwa kwa kuwalaghai mayatima urithi wao wa thamani ya Sh150m

MAHAKAMA ya Milimani imeamuru polisi wawakamate wafanyabiashara wawili wanaoshtakiwa kwa kuwalaghai mayatima wawili jumba la kifahari lenye thamani ya Sh150milioni miaka saba iliyo...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Activist Mwabili Mwagodi Detained, Attacked by Unknown People

The activist’s investigation into a contested land project in Githunguri escalated into a standoff requiring police intervention.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mshangao Mackenzie akiorodhesha wahadhiri, Padri na Shekhe kumtetea kortini

MHUBIRI tata Paul Mackenzie atawaita wahadhiri wa vyuo vikuu, padri wa Kanisa Katoliki, shehe wa dini ya Kiislamu na mwanasaikolojia ili kusaidia utetezi wake dhidi ya mashtaka ya...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mfanyabiashara kortini akidaiwa kujipatia Sh120 milioni kwa udanganyifu

Mfanyabiashara, Abdul Razak Ahmed (37) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kujipatia Sh120 milioni kwa njia ya udanganyifu.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hatari ya kukata rufaa kienyeji adhabu ikifanywa kali zaidi

KWA wengi wanaopatikana na hatia ya uhalifu, kukata rufaa huwa ni tumaini la kupata haki—njia ya kupunguza au kubatilisha adhabu wanayohisi si ya haki. Hata hivyo, mchakato huu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wanne wanaohusishwa na msururu wa wizi wa kimabavu kaunti tatu wakamatwa

MAAFISA wa upelelezi kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wameelekeza uchunguzi wao kwenye simu za mkononi na taarifa za benki zilizopatikana kutoka kwa washukiwa wanne walioka...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Ni zamu ya Aweso, Profesa Mkenda na Makonda

Soma zaidi hapa...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kibagendi Mashakani

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source