Mke mwenza aliyeuguza mume ashinda kesi ya urithi wa Sh200 milioni
MAHAKAMA Kuu ya Mombasa imeamua kwamba, katika hali za kipekee, talaka inaweza kuchukuliwa kuwa ilitokea pale ambapo ndoa imekoma, kwa kuzingatia vitendo vya wanandoa ambao wameend...