Latest updates for Ker Odungi Randa

Fresh curated links around Ker Odungi Randa are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Migwena: Uwanja wa mapenzi na historia ya familia ya Odinga
  • Oburu asafiri Uingereza kwa matibabu, ODM ikitoa ratiba ya ukumbusho wa Raila
  • Ubabe ndani ya ODM Oburu akiendelea kukosekana

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Migwena: Uwanja wa mapenzi na historia ya familia ya Odinga

MUDA mrefu kabla ya Migwena kuwa kitovu cha mikutano mikubwa ya kisiasa na kitamaduni nchini, uwanja huo uliokuwa ukitumiwa na vijana kutafuta wachumba na jamii jirani kusuluhisha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Oburu asafiri Uingereza kwa matibabu, ODM ikitoa ratiba ya ukumbusho wa Raila

KIONGOZI wa ODM, Oburu Oginga, amesafiri Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa afya huku akitarajiwa kushiriki shughuli za kisiasa na Wakenya wanaoishi nchini humo. Safari hiyo im...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ubabe ndani ya ODM Oburu akiendelea kukosekana

UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya ch...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto atuliza ODM, aahidi kudumisha falsafa ya uongozi wa Raila Odinga

RAIS William Ruto jana alionekana kupunguza mvutano wa kisiasa kati ya ODM na UDA, akisema vyama hivyo ni washirika katika Serikali Jumuishi akiahidi kulinda urithi wa kisiasa wa m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Oburu arejea kutoka London

KIONGOZI wa ODM Dkt Oburu Oginga amerejea nchini baada ya kukaa nchini Uingereza kwa takriban wiki tatu akipata matibabu, wakati chama hicho kinajiandaa kuadhimisha mwaka mmoja tan...

Read source
kenyans.co.ke /1 week ago

ODM Sends Fresh Appeal to Kenyans Amid Concerns Over Oburu Oginga Health

The warning comes amid rumours over the past weeks going round on social media alleging that Oburu had died.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Taifa litaadhimisha mwaka mmoja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Oparanya apinga Arati, Oburu kuhusu suala la kugawana maeneo na UDA

MJADALA kuhusu mpango wa kugawana maeneo ya kisiasa unaendelea kuibua tofauti ndani ya ODM, huku Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya akipinga pendekezo hilo na kuunga mk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM yasisitiza sera zake zijumuishwe manifesto ya Ruto

CHAMA cha ODM kinataka baadhi ya sera zake muhimu zijumuishwe katika manifesto ya uchaguzi ya Rais William Ruto ya 2027 kama sehemu ya makubaliano ya kabla ya kuunda muungano kati...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Maoni mseto Rais akimpa mzee wa Waluo gari ya mamilioni kama zawadi

ZAWADI ya gari jipya aina ya Toyota Prado TX lililotolewa na Rais William Ruto kwa mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Luo, Ker Odungi Randa, imeibua mjadala mkali wa kisiasa katika e...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Oburu Odinga Addresses Targeting Linda Mwananchi Rallies in ODM 'Strongholds'

His remarks come weeks after violence disrupted the Linda Mwananchi rally in Homa Bay, when Nairobi Senator Edwin Sifuna led the faction in a rally in the county.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM 

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto amshambulia Orengo, amtaka aache kuwa ‘kibaraka wa Uhuru’, ajiunge na serikali

KATIKA siku yake ya tatu ya ziara ya Nyanza, Rais William Ruto alipeleka mapambano yake ya kisiasa dhidi ya vuguvugu la Linda Mwananchi hadi Siaya, ngome ya Gavana James Orengo, ak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Oburu amkumbuka Raila katika siku ya kuzaliwa kwake

KIONGOZI wa ODM Oburu Oginga jana alimkumbuka kakake mdogo Raila Odinga akisema uhusiano wao wa kindugu hauwezi kuvunjwa na kifo. Katika ujumbe katika maadhimisho ya mwaka mmoja t...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Ker Odungi Randa

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source