Latest updates for Kenneth Matiba Na Jaramogi Oginga Odinga Kutofautiana

Fresh curated links around Kenneth Matiba na Jaramogi Oginga Odinga kutofautiana are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • UCHANGANUZI: Mtego wa kutoka jadi unaovunja upinzani ufikapo uchaguzi mkuu
  • Kibarua Upinzani kuamua gani kali kati ya Kalonzo-Matiang’i, Kalonzo-Sifuna, Sifuna-Kalonzo
  • Ondiek alivyobwaga shemeji yake James Orengo uchaguzi wa 1983

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

UCHANGANUZI: Mtego wa kutoka jadi unaovunja upinzani ufikapo uchaguzi mkuu

KUGAWANYIKA kwa upinzani si jambo geni katika siasa za Kenya. Mwaka 1992, chama cha FORD kilichokuwa kimeibuka kama tishio kubwa kwa utawala wa KANU kilisambaratika baada ya viong...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kibarua Upinzani kuamua gani kali kati ya Kalonzo-Matiang’i, Kalonzo-Sifuna, Sifuna-Kalonzo

UPINZANI sasa unakabiliwa na mtihani mkubwa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Baada ya kuonekana kukubaliana kuhusu haja ya kuungana dhidi ya Rais William Ruto, sasa viongozi w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Ondiek alivyobwaga shemeji yake James Orengo uchaguzi wa 1983

STEPHEN Oluoch Ondiek alikuwa miongoni mwa wanasiasa wa Nyanza waliopitia nyakati tofauti za siasa za Kenya, kutoka enzi ya chama kimoja hadi mfumo wa vyama vingi. Mwaka 2001, Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua awasha moto kwa kutaka vyama vya Mlima Kenya vivunjwe

MVUTANO wa kisiasa unaendelea kutokota katika eneo la Mlima Kenya na kutishia juhudi za kuunganisha upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka ujao. Chanzo cha mzozo huo ni matamshi ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Viongozi wa Kenya Kwanza wazidi kuunga mkono Mung’aro achaguliwe tutam

GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amezidi kuungwa mkono na viongozi wa Kenya Kwanza kutetea kiti hicho katika Uchaguzi wa 2027. Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, alisema wan...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

ODM yazua dhoruba kwa kung’ang’ania kiti cha Kindiki mkutanoni Naivasha

MVUTANO kuhusu nani atakuwa Naibu Rais iwapo Rais William Ruto atashinda muhula wa pili uliibuka katika kikao cha faragha cha viongozi wa Kenya Kwanza na ODM mjini Naivasha Jumatat...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ushindi wa Gachagua Ol Kalou wazua mjadala kuhusu mgawanyiko Mlimani

WAZIRI wa Utumishi wa Umma, Geoffrey Ruku, amesema matokeo ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou hayana athari kwa siasa za Mlima Kenya Mashariki, akisisitiza kuwa eneo hilo limeamua kuend...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Vinara wa Upinzani wakosa kutoa majibu kuhusu atakayebeba bendera 2027

KIKAO cha vinara wa upinzani kilichotarajiwa kutoa mwelekeo mpya wa kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027 kilimalizika Kiambu Jumatatu bila kutatua baadhi ya masuala muhimu yanayotishi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Malumbano ya ubabe Mlimani kati ya Gachagua, Munya raha kwa Ruto

MALUMBANO yanayoendelea kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na baadhi ya viongozi wa eneo la Mlima Kenya huenda yakawa habari njema kwa Rais William Ruto anapojiandaa kut...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpango wa Uhuru kufufua Azimio wapingwa vikali na vyama vya Upinzani

MPANGO wa Rais (mstaafu) Uhuru Kenyatta wa kufufua muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 umepingwa vikali na baadhi ya vyama vya upinzani, hali inayo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Askofu, mbunge watofautiana kuhusu mchango wa Ruto matangani

IBADA ya mazishi ya marehemu Mchungaji Silvanus Mwakoma katika eneo la Kirutai, Voi, iligeuka kuwa uwanja wa malumbano ya kisiasa baada ya Mbunge wa Taveta John Bwire na Askofu Mku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Wetang’ula, Mudavadi waambia Sifuna bado hajaiva kupata kura kila pembe ya nchi

VITA vya kisiasa vya kung’ang’ania kura za Magharibi vimezidi kushika kasi baada ya Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kupinga azma y...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sakaja na Aladwa pabaya Nairobi wabunge wa ODM wakianza kuunga Babu hadharani

CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

WALIOBOBEA: Burudi Nabwera alivuma kisiasa wakati wa Kanu

BURUDI Nabwera alikuwa miongoni mwa wanasiasa wasomi zaidi waliohitimu kutoka taasisi mashuhuri za Uingereza wakati wa ukoloni. Elimu hiyo ilimwezesha kuelewa mifumo ya ubepari w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ndindi Nyoro akoroga hesabu za Gachagua Mlimani

KIONGOZI wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua anakabiliwa na changamoto mpya katika juhudi zake za kudhibiti siasa za eneo la Mlima Kenya, mwezi mm...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ndoa kati ya Ruto na Oburu ni ya kulazimisha- TIFA

Wakenya wengi wanapinga ushirikiano wa kisiasa kati ya ODM na UDA, hali inayozua maswali kuhusu mustakabali wa mpango huo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Haya ni kwa mujibu wa u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mwakwere afokea Joho na Nassir kwa kumvumisha Achani kwa muhula wa pili Kwale

MSEMAJI wa jamii ya Wadigo, Bw Chirau Mwakwere, amewashutumu Waziri wa Madini na Uchumi wa Maji, Bw Hassan Joho na Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir, kwa kumpigia debe Gavana wa...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Mt. Kenya Parties Defy Gachagua, Insist on Political Independence

Three political parties from the Mt. Kenya region have pushed back against calls to fold into the Democracy for Citizens Party (DCP) led by former Deputy President Rigathi Gachagua...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ol Kalou: Gachagua sasa apaa huku Uhuru, Kindiki wakiyumba Mlimani

USHINDI mkubwa wa mgombea wa Democracy for Citizens Party (DCP), Sammy Kamau Ngotho, katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou umeibua mjadala mpya kuhusu mwelekeo wa siasa za Ml...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

2027: Siasa za ubabe zatikisa mrengo wa Linda Mwananchi na ule wa upinzani

HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Uhuru aibuka mwiba kwa Gachagua Mlimani

VITA vya kisiasa vya kudhibiti Mlima Kenya vinaingia awamu mpya huku aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akijaribu kuimarisha ushawishi wake katika eneo hilo kuelekea uchaguzi wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

MAONI: Hivi huyu Ndindi ni mpinzani wa Ruto au anamdhibiti tu Gachagua?

HATUA mpya ya kisiasa ya Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, imezua kitendawili kipya katika siasa za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Mwanasiasa huyo ambaye kwa muda mrefu alikuwa mio...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Aladwa: Nitakuwa debeni na ODM lazima iungwe mkono kiti cha ugavana Nairobi

BAADHI ya viongozi wa ODM jijini Nairobi wamekataa wazo la kugawana nyadhifa za kisiasa na UDA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, wakisisitiza kuwa ODM ndiyo inafaa kutoa mgombeaji wa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta

Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kenneth Matiba Na Jaramogi Oginga Odinga Kutofautiana

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source