Ripoti ya KNBS: Murang’a ndio inapiga kasi zaidi katika ukuaji wa kiuchumi
KAUNTI ya Murang’a ndiyo inayokua kwa kasi zaidi eneo la Mlima Kenya katika nyanja ya uchumi ikiandikisha mchango thabiti kwa mapato ya jumla nchini (GDP), ripoti imeashiria. Ripo...