Maraga: Kuondoa Ruto hakutoshi, lazima tung’oe mizizi inayoleta mafidhuli uongozini
MGOMBEA urais wa chama cha United Green Movement (UGM), David Maraga, ametoa wito kwa vyama vya upinzani kuungana kwa misingi ya maadili, utawala wa sheria na kuheshimu Katiba, aki...