Joho ataka mkataba kwanza na Ruto ndio aanze kuvumisha ‘Tutam’
WAZIRI wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, ametangaza sharti la mkataba wa kisiasa kati yake na Rais William Ruto, ili amuunge mkono kwa awamu ya pili ya uongozi 2027....
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Kauli Ya 'Lazima Ruto Apate Tutam.
Fresh curated links around Kauli ya 'lazima Ruto apate tutam are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
WAZIRI wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, ametangaza sharti la mkataba wa kisiasa kati yake na Rais William Ruto, ili amuunge mkono kwa awamu ya pili ya uongozi 2027....
MAWAZIRI wa Michezo na Vijana, Bw Salim Mvurya, mwenzake wa Madini, Bw Hassan Joho, pamoja na Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, wamewahimiza wakazi wa pwani kumuunga mkono Rais Wil...
UCHAGUZI Mkuu wa 2027 umeibua hali ya kipekee katika siasa za Kenya. Rais William Ruto anaingia katika kipindi cha mwisho cha muhula wake wa kwanza akiwa amepoteza sehemu kubwa...
BAADHI ya maafisa wa ngazi ya juu serikalini wameunda vuguvugu la kuvumisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto tena katika uchaguzi mkuu wa 2027. Kundi hilo linafahamika kama Jam...
KINYANG'ANYIRO cha urais wa 2027 kimeanza kushika kasi, lakini nyuma ya pazia kuna pambano jingine lenye uzito mkubwa kumchagua mgombea mwenza. Muungano wa Kenya Kwanza unaoong...
VIONGOZI wa ODM Luo Nyanza wameapa kuwa ‘watakufa’ na Rais William Ruto hadi 2027 kutokana na uimarishaji wa miundomsingi eneo hilo. Wakiongozwa na Seneta wa Siaya, Dkt Oburu Og...
VIONGOZI wa ODM kutoka Kaunti ya Homa Bay ambao walikuwa na uhasama wameahidi kuungana ili kupiga jeki juhudi za kumtafutia Rais William Ruto kura eneo hilo. Waziri wa Fedha John...
VIONGOZI wanaounga mkono serikali jumuishi Ijumaa walifanya mkutano mkubwa wa kisiasa mjini Eldoret kumpigia debe Rais William Ruto 2027 huku wakianza pia kuweka msingi wa siasa za...
RAIS William Ruto kwa mara ya pili ndani ya wiki moja amewataka vijana kuheshimu sheria, huku familia za waathiriwa wa maandamano ya Juni 25, 2024 zikiandaa maadhimisho ya miaka mi...
JOTO la kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 linavyozidi kupanda, Rais William Ruto anaonekana kuweka matumaini makubwa ya kisiasa katika miradi miwili mikubwa ya miundombi...
RAIS William Ruto ameweka mkazo kwenye miradi ya nyumba za bei nafuu, utoshelevu wa chakula na miradi ya maendeleo ya jamii tofauti na mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, ambaye aliji...
NAIROBI ilipokuwa chini ya ulinzi mkali Wakenya wakiadhimisha miaka miwili tangu maandamano ya Gen Z, Rais William Ruto alitembelea mradi unaoendelea wa ujenzi wa Bomas of Kenya na...
VIONGOZI kutoka Magharibi mwa Kenya sasa wanamtaka Rais William Ruto amchukue Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi au Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kama mgombea-mwenza...
RAIS William Ruto Ijumaa alizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara vijana (NYOTA), katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mawaziri na maafisa wengine...
SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula na mwenzake wa Seneti Amason Kingi wanakabiliwa na kesi ya kikatiba inayoweza kubadili mipaka ya ushiriki wa viongozi wa Bunge katika sia...
MGOMBEA urais wa chama cha United Green Movement (UGM), David Maraga, ametoa wito kwa vyama vya upinzani kuungana kwa misingi ya maadili, utawala wa sheria na kuheshimu Katiba, aki...
VIONGOZI wa upinzani wanakabiliwa na presha kubwa kuthibitisha kwa vitendo umoja wao na uthabiti wa kisiasa kumpa Rais William Ruto ushindani mkali katika azma ya kutetea kiti chak...
President William Ruto pledged to work with leaders and residents across the country, regardless of political affiliation. He said his administration aims to deliver development to...
RAIS William Ruto amepuuzilia mbali wanaoendelea kumkosoa kuhusu safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, akisisitiza kuwa ziara hizo ni sehemu muhimu ya kuimarisha diplomasia ya...
RAIS William Ruto aliingia madarakani mnamo 2022 kwa ahadi ya kuongoza serikali inayozingatia utawala wa sheria. Aliwahakikishia Wakenya mara kwa mara kwamba amri za mahakama zing...
KAMPENI za kinyang’anyiro cha urais 2022 zilipokuwa kileleni, aliyekuwa rais, Bw Uhuru Kenyatta aliwatahadharisha Wakenya mara kadhaa wajiepushe kuwachagua viongozi wenye “mdomo ta...
WAHASIRIWA zaidi ya 1,000 wa ukiukaji wa haki za kibinadamu, ikiwemo ukatili wa polisi na vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi, wataanza kupokea malipo yao fidia kuanzia wiki...
MIEZI 14 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027, Rais William Ruto anategemea Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kusimamia utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayochukuliwa kuwa nguzo...
ALIYEKUWA Gavana wa Bomet, Isaac Ruto, ametangaza kuwa ana imani atashinda uteuzi wa UDA na kurejelea kiti chake katika uchaguzi mkuu 2027. Bw Ruto alisema kuwa uchaguzi wa mashin...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.