Kuppet yatoa makataa ya siku 30 kwa SHA kutatua shida za bima lau sivyo…
CHAMA cha Walimu wa Shule za Sekondari na Vyuo (KUPPET) kimepatia Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) siku 30 kurekebisha kasoro zinazokumba mpango wa matibabu wa walimu, kikionya kuwa...