Latest updates for Kasongo Ruto Aende

Fresh curated links around Kasongo Ruto aende are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Ruto aendeleza juhudi za kuvutia vijana akitafuta Tutam
  • Ruto arejea nyumbani kujitetea, anuia kurejesha ufuasi unaodaiwa kudidimia
  • Ruto apanua kikosi chake Ukambani kukabili Kalonzo

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ruto aendeleza juhudi za kuvutia vijana akitafuta Tutam

RAIS William Ruto ameongeza juhudi za kuwavutia vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 baada ya kuzindua mpango wa Sh2 bilioni wa kuwawezesha kupata ajira kupitia mafunzo kazini, na...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto arejea nyumbani kujitetea, anuia kurejesha ufuasi unaodaiwa kudidimia

RAIS William Ruto anatarajiwa kuzuru eneo la Kusini mwa Bonde la Ufa wiki ijayo huku kukiwa na malalamishi yanayoongezeka kutoka kwa wakazi wanaodai serikali yake imepuuza eneo hil...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto apanua kikosi chake Ukambani kukabili Kalonzo

MAPAMBANO ya kisiasa ya kuwania takriban kura milioni mbili za Ukambani yamepamba moto baada ya Rais William Ruto kupanua orodha ya washirika wake katika eneo hilo kuelekea uchaguz...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta

Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Ruto atua ngome ya Kalonzo na minofu uchaguzi ukikaribia

RAIS William Ruto amewataka viongozi wa upinzani kutafuta hoja bora za kupinga ajenda yake ya maendeleo badala ya kuwagawanya Wakenya kwa misingi ya ukabila. Rais alisema ha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ruto amwaga miradi ya mamilioni Magharibi, Oparanya akipigiwa debe 2027

RAIS William Ruto jana alisema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya mabilioni ya pesa Magharibi mwa nchi huku wabunge wanaounga serikali yake wakiahidi kuwa eneo hilo lita...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto kuzindua rasmi safari ya Kenya kuwa kama Singapore: Gumzo la ‘Vision 2060’ ni leo

RAIS William Ruto leo, Jumatano Agosti 12, 2026, anaanzisha mchakato wa mazungumzo ya kitaifa kuhusu mustakabali wa Kenya, huku akiwahusisha wataalamu na wananchi katika kuandaa mp...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto ajipigia debe akizindua awamu ya pili ya mpango wa Nyota

RAIS William Ruto Ijumaa alizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara vijana (NYOTA), katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mawaziri na maafisa wengine...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Tutam! Vuguvugu la kumvumisha Ruto 2027 labuniwa

BAADHI ya maafisa wa ngazi ya juu serikalini wameunda vuguvugu la kuvumisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto tena katika uchaguzi mkuu wa 2027. Kundi hilo linafahamika kama Jam...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto afufua maono ya hayati Raila katika Ruwaza yake ya 2060

RAIS William Ruto alipozindua mjadala wa kitaifa kuhusu mustakabali wa Kenya baada ya Ruwaza ya 2030 wiki hii, aliutaja kama juhudi mpya za kuwapa mwongozo wa muda mrefu utakaonufa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Jiandae kwa mwaka mgumu, Kalonzo amuonya Ruto

KIONGOZI wa Wiper Patriotic Party, Kalonzo Musyoka, amemuonya Rais William Ruto kwamba mwaka wake wa mwisho mamlakani utakuwa mgumu, huku upinzani ukiahidi kuongeza ukosoaji wa ser...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto: Kushinda ni lazima, hatuna hiari; nikifikiria jinsi nchi itakuwa mikononi mwao nashtuka

RAIS William Ruto na Kinara wa ODM Dkt Oburu Oginga jana walibuni kamati ya watu watano kutoka kila upande ili kuibuka na rasmi na manifesto ambayo watatumia kujivumisha kuelekea u...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Vita mgombea mwenza wa Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027

Wakati Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, mjadala kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto umeanza kuibua mvutano ndani ya vyama vya United Democratic...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Uhuru: Ruto au kiongozi yeyote hafai kujilazimisha kwa Wakenya

RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta na Rais William Ruto wameendeleza mvutano wao wa kisiasa huku wakitofautiana kuhusu uchaguzi wa 2027, nafasi ya upinzani na maendeleo ya serikali....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ruto halali akitupangia lakini hatupati ng’o, wasema viongozi wa Upinzani

VIONGOZI wa upinzani wameanza mikakati ya kuunda muungano mkubwa wa kisiasa unaofanana na ule wa National Rainbow Coalition (NARC) uliomwingiza madarakani Rais mstaafu Mwai Kibaki...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mrengo mpya sasa waibuka Mlimani kumuunga mkono Ruto

HUKU vita vya kisiasa kudhibiti kura za eneo la Mlima Kenya vikizidi kushika kasi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, mrengo wa tatu wa kisiasa unaohusishwa na Rais William Ruto umeibu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinamizi la kuamua mgombea mwenza wa Ruto 2027

KINYANG'ANYIRO cha urais wa 2027 kimeanza kushika kasi, lakini nyuma ya pazia kuna pambano jingine lenye uzito mkubwa kumchagua mgombea mwenza. Muungano wa Kenya Kwanza unaoong...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wandani wa Ruto waanza kusuka mikakati ya 2032

VIONGOZI wanaounga mkono serikali jumuishi Ijumaa walifanya mkutano mkubwa wa kisiasa mjini Eldoret kumpigia debe Rais William Ruto 2027 huku wakianza pia kuweka msingi wa siasa za...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wantam: Upinzani wakosoa ndoto mpya ya Ruto ya ustawi

VIONGOZI wakuu wa upinzani wamekosoa vikali pendekezo la Rais William Ruto la kuanzisha mwongozo mpya wa maendeleo ya taifa utakaofuata Ruwaza ya 2030, wakisema serikali inajaribu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Malumbano ya ubabe Mlimani kati ya Gachagua, Munya raha kwa Ruto

MALUMBANO yanayoendelea kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na baadhi ya viongozi wa eneo la Mlima Kenya huenda yakawa habari njema kwa Rais William Ruto anapojiandaa kut...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto abadili mbinu za Uhuru kwa kuangazia mradi wa nyumba za bei nafuu

RAIS William Ruto ameweka mkazo kwenye miradi ya nyumba za bei nafuu, utoshelevu wa chakula na miradi ya maendeleo ya jamii tofauti na mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, ambaye aliji...

Read source
kenyans.co.ke /2 weeks ago

Ruto CS Hints at Challenging Irungu Kang’ata in 2027

The CS joins a growing list of President William Ruto's close associates within the cabinet who have made intentions to vie in the 2027 general elections.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Korti yawazima Wetang’ula, Kingi kushiriki kampeni za Ruto Tutam

SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula na mwenzake wa Seneti Amason Kingi wanakabiliwa na kesi ya kikatiba inayoweza kubadili mipaka ya ushiriki wa viongozi wa Bunge katika sia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Anayedaiwa kuanika safari za Ruto mtandaoni aachiliwa huru

MAHAKAMA Kuu imeamuru kuachiliwa huru bila masharti kwa Halima Ngache, mwanamke aliyekamatwa kwa madai ya kufuatilia safari za anga za Rais William Ruto na kuzichapisha kwenye mita...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kasongo Ruto Aende

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source