Latest updates for Kanuni Za Kilimo

Fresh curated links around Kanuni za kilimo are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kanuni zinazokwamisha ubunifu wa kilimo Afrika
  • Kibano ufungaji holela ving’ora, vimulimuli
  • Mashine hii mahuluti inafanya shughuli kibao shambani kuwa rahisi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kanuni zinazokwamisha ubunifu wa kilimo Afrika

AFRIKA haina upungufu wa teknolojia za kilimo zinazoweza kusaidia wakulima kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Kuanzia mbegu za mahindi zinazostahimili ukame, nga...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Kibano ufungaji holela ving’ora, vimulimuli

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mashine hii mahuluti inafanya shughuli kibao shambani kuwa rahisi

KILIMO cha usahihi [Precision Agriculture kwa Kimombo] kinaendelea kupata nguvu barani Afrika huku teknolojia zake za utekelezaji zikinuia kuwasaidia wakulima wadogo kuongeza kiwan...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Profesa Kitila atoa msimamo wa Serikali uwekezaji wa mashamba Siha

Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali kutathimini namna rasilimali hizo zinavyoweza kutumika kwa tija na kuleta manufaa kwa Taifa na wananchi.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mfumo wa kidijitali kufungua masoko ya mikunde

Wakulima wa mazao ya jamii ya mikunde nchini wanatarajiwa kunufaika na mfumo mpya wa kidijitali utakaowaunganisha na wanunuzi, wafanyabiashara na wadau wa sekta hiyo, huku ukiwawez...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Wazalishaji sukari wataka sheria, sera zinazotabirika

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Sababu zilizomfanya aache mahindi, ahamie kilimo cha ‘managu’

ALIPOMTEMBELEA rafiki yake katika shamba la Matuiku, kilomita chache kutoka mji wa Elburgon mnamo 2020, Benson Muchai hakujua kwamba mazungumzo kati yao yangebadilisha kilimo chake...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kilimo cha pamba si cha Kubahatisha-Mwanri

Balozi wa Pamba Tanzania, Agrey Mwanri amewataka wakulima kuachana na utaratibu wa kurusha mbegu ovyo mashambani na badala yake kuzingatia kanuni za kilimo bora ili kuongeza uzalis...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wadau: Simu janja ni ‘trekta’ mpya kwenye kilimo

Wadau wa kilimo wametaja simu janja kuwa nyenzo muhimu ya kuifanya sekta ya kilimo kuinua uchumi wa mtu mmoja na Taifa kwa ujumla.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wakulima walalamikia mifugo kulishwa mazao yao mashambani

Wakulima katika Kitongoji cha Sanya Line A, Kijiji cha Mabogini, Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kukithiri kwa vitendo vya uvamizi wa mifugo katika mashamba yao, tatizo wal...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mbeya yageukia mapinduzi ya kilimo cha shayiri, uzalishaji malighafi za viwandani

Serikali imeanza utekelezaji wa mkakati wa kuifanya Wilaya ya Mbeya kuwa kitovu cha uzalishaji wa shayiri nchini kwa kusambaza zaidi ya tani 10 za mbegu bora kwa wakulima kwa ruzuk...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Umeme, masoko, barabara na pembejeo feki kilio cha wakulima Kusini

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Himizo kilimo cha kuhifadhi afya ya udongo na nishati ya jua kuunganishwa ili kupunguza gharama

MABADILIKO ya tabianchi yanaendelea kubadilisha kwa kasi mifumo ya kilimo nchini Kenya, huku misimu ya mvua na ukame ambayo wakulima walitegemea ikizidi kuwa isiyotabirika. Uka...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ileje kuja na mkakati ujenzi masoko ya kisasa kuimarisha kilimo

Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepanga kuja na mkakati wa ujenzi wa masoko ya kisasa ya mazao pamoja na kuimarisha mfumo wa ushirika, lengo likiwa ni kuongeza thamani y...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Migogoro kizingiti umiliki wa ardhi kwa wanawake -1

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Hemed: Nanenane itumike kubadilisha mfumo wa kilimo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema maonyesho ya Nanenane yanapaswa kutumia ubunifu kutoka kilimo cha mazoea na kuwa cha biashara.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Serikali yawataka wakulima wavune mazao yao kabla ya El Nino kuanza

WAKULIMA wameshauriwa kutumia wiki tatu zijazo kukamilisha uvunaji, ukaushaji mazao yao na kuandaa mashamba yao kabla ya kuanza kwa msimu wa mvua ya El Nino. Ushauri huo umetolewa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Serikali: Wakulima wazalishe kwa kuzingatia mahitaji ya soko

Serikali imewataka wakulima, wafugaji na wavuvi nchini kubadili mfumo wa uzalishaji kwa kuanza kutafuta taarifa za mahitaji ya soko kabla ya kuanza uzalishaji, ikisema utaratibu wa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

NIKWAMBIE MAMA: Mkulima na mfugaji ni gego na ufizi, havitengani

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Wamasai wachekelea marekebisho sheria ya mifugo hifadhini

Baraza la Uongozi wa Mila la Kimaasai Taifa limepongeza marekebisho ya Sheria ya Uhifadhi na Wanyamapori yanayozuia mifugo kukamatwa na kutaifishwa kwa kuingia katika maeneo ya hif...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Walikwepa madhila ya ndoa na kuingilia kilimo

KATIKA eneo kame la Kinna, Kaunti ya Isiolo, ambako ukame na mabadiliko ya tabianchi yamefanya kilimo na ufugaji kuwa changamoto kubwa, kundi la wakulima limegundua kuwa kilimo end...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

RC Macha: Nanenane iwe darasa la kuongeza tija kwa wakulima

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha amesema Maonesho ya Nanenane yanapaswa kuwa shamba darasa la vitendo litakalowawezesha wakulima, wafugaji na wavuvi kujifunza teknolojia mpy...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Bei ya mahindi yaanza kupanda baada ya mavuno duni Bonde la Ufa

BEI ya mahindi imepanda kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya Bonde la Ufa kutokana na mavuno duni yaliyosababishwa na mvua isiyotabirika. Hali hii inazua hofu ya ongezeko zaidi la...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wizara ya Fedha yatakiwa kuondoa VAT kwenye mitambo na mashine za uchakataji mazao

WIZARA ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo inaendelea na mazungumzo na Wizara ya Fedha na Hazina ya Kitaifa ili kuondoa ushuru (VAT) kwenye mitambo ya uchakataji na uongezaji thamani...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kanuni Za Kilimo

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source