17 waliofariki ajalini Salama ni mahujaji wakielekea Subukia, aeleza Askofu
WAUMINI 16 wa Kanisa Katoliki kutoka parokia ya St Mathias Mulumba, Mikindani, Mombasa, wamefariki katika ajali ya barabarani eneo la Salama, Kaunti ya Makueni. Waumini hao wali...