Latest updates for Kamati Za Kilimo Na Mifugo
Fresh curated links around Kamati za Kilimo na Mifugo are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Mbuzi, kondoo wapaisha mauzo ya nyama nje
- Sintofahamu ekari 20 za mazao ya wananchi kufyekwa Karatu, DC afunguka
- SMZ kuwatambua wafugaji, kuwasaidia kuongeza tija
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Sintofahamu ekari 20 za mazao ya wananchi kufyekwa Karatu, DC afunguka
Soma hapa...
SMZ kuwatambua wafugaji, kuwasaidia kuongeza tija
Soma hapa...
Ng’ombe, mbuzi na kondoo kupewa vitambulisho kudhibiti wizi
SERIKALI imeanza kutekeleza mfumo mpya wa kitaifa wa kutambua na kufuatilia mifugo unaolenga kudhibiti wizi na kuboresha biashara ya bidhaa za mifugo nchini. Waziri wa Kilimo na...
Kamati ya Bunge: Uhakika wa chakula ni usalama wa nchi
Soma hapa...
Viongozi wa vijiji Mtama, watuhumiwa kupewa fedha na wafugaji
Baadhi ya viongozi wa serikali za vijiji na wenyeviti wa vitongoji katika Halmashauri ya Mtama wanatuhumiwa kupokea fedha kutoka kwa wafugaji wanaoingiza mifugo katika maeneo yao,...
Uvumbuzi wa chakula maalum kufaa mifugo wakati wa kiangazi
HUKU kiangazi na ukame ukiendelea kuathiri wakulima hasa maeneo kame na nusu-kame (ASAL), teknolojia ya uongezaji malisho thamani kurefusha muda imegeuka kuwa tegemeo kwa wafugaji....
Familia 83,000 zanufaika kupitia mradi wa ufugaji
Zaidi ya familia 83,000 katika kaunti 10 zinanufaika kupitia mradi wa uimarishaji ufugaji, miundombinu ya maji na masoko yaliyoboreshwa, unaolenga kugeuza ufugaji kuwa biashara yen...
Wamasai wachekelea marekebisho sheria ya mifugo hifadhini
Baraza la Uongozi wa Mila la Kimaasai Taifa limepongeza marekebisho ya Sheria ya Uhifadhi na Wanyamapori yanayozuia mifugo kukamatwa na kutaifishwa kwa kuingia katika maeneo ya hif...
Mbeya vijijini wanufaika na ng’ombe 40 mradi wa kulinda mazingira Bonde la Songwe
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, mkoani Mbeya imepokea mradi wa Uhifadhi wa Mazingira katika Bonde la Mto Songwe kwa lengo la kuwawezesha wananchi kiuchumi , huku ng'ombe 40 zikit...
Serikali yataka utafiti kukabili magugu vamizi, magonjwa ya mifugo
Soma hapa...
Umeme, masoko, barabara na pembejeo feki kilio cha wakulima Kusini
Soma zaidi hapa...
Kufutwa sheria kandamizi kwafufua matumaini ya wafugaji Simanjiro
Wafugaji wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara, wameishukuru Serikali na Bunge kwa kufuta sheria waliyodai ilikuwa kandamizi, iliyowafanya kukabiliwa na faini kubwa au kunyang’anywa...
Teknolojia itasaidia wakulima kukabili mabadiliko ya tabianchi, waziri
Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo Mutahi Kagwe amewataka wakulima nchini kutumia teknolojia, huduma za kidijitali na mbinu za kilimo zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi il...
Wadau wajengewa uwezo kukabiliana na majanga ya hali ya hewa
Serikali imewataka wadau wa sekta za kilimo na mifugo kutumia taarifa za utabiri wa hali ya hewa kwa wakati ili kuchukua hatua za mapema na kupunguza madhara yanayosababishwa na ma...
Kamati ya Bunge yaagiza ujenzi kituo cha polisi Mkulazi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeagiza menejimenti ya kiwanda cha sukari Mkulazi na Bodi ya Sukari Tanzania kuchukua hatua za haraka za kuhakikis...
Dk Kamata aanika matobo kwenye mfumo wa elimu
Soma zaidi hapa...
Wabunge wa ‘Broabased’ wakosolewa kwa uzembe kamatini
WABUNGE wanaounga mkono serikali ambao wanaongoza kamati muhimu za Bunge wamekosolewa kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri kuhusu masuala yanayowahusu wananchi. Ripoti iliyowasi...
Ruto: Hata maziwa ya ngamia na mbuzi yako sawa sio lazima yawe ya ng’ombe
RAIS William Ruto amependekeza Kenya ipanue vyanzo vya maziwa kwa kujumuisha ngamia, mbuzi na kondoo baada ya upungufu wa maziwa ya ng’ombe kusababisha bei kupanda hadi Sh85 kwa li...
Serikali yaweka mkakati wa kusambaza Mabaraza ya Watoto
Soma hapa...
Dk Mwigulu atoa maagizo kwa Waziri Chongolo
Dk Mwigulu amesema Serikali haitaki kuona zao hilo likididimia, bali liendelee kuwa miongoni mwa mazao muhimu ya kiuchumi nchini, hususan katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Kenya: Nyaribo Launches Sh36.4mn Farmer Grants, Fmd Vaccination Targeting 113,800 Cattle
[Capital FM] Nyamira -- Nyamira Governor Amos Nyaribo has launched a Foot and Mouth Disease (FMD) vaccination campaign targeting more than 113,800 cattle across the county as part...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.