Makubaliano ya siri yaliyomaliza tandabelua kati ya maseneta na magavana
MAKUBALIANO ya siri kati ya magavana na maseneta yalimaliza mvutano wa wiki kadhaa uliotishia kufifisha shughuli za kaunti kutokana na kucheleweshwa kwa fedha. Katika makubaliano...