Latest updates for Kamanda Wa Polisi Wa Tarafa Ndogo Ya Samburu

Fresh curated links around Kamanda wa Polisi wa Tarafa Ndogo ya Samburu are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kampeni ya ‘Ongea na Kamanda’ kutatua kero kwa wananchi
  • Viongozi wa Samburu, Meru wakosoa oparesheni ya usalama unaoendeshwa na kikosi maalum cha polisi
  • Saba mbaroni kwa unyang’anyi, mauaji Arusha

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /1 week ago

Kampeni ya ‘Ongea na Kamanda’ kutatua kero kwa wananchi

Wananchi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wameitaka Jeshi la Polisi kutumia kampeni ya ‘Ongea na Kamand’a kusikiliza na kutatua kero za kiusalama, kushughulikia malalamiko yao na...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Viongozi wa Samburu, Meru wakosoa oparesheni ya usalama unaoendeshwa na kikosi maalum cha polisi

VIONGOZI kutoka kaunti za Meru na Samburu wamegawanyika kuhusu oparesheni ya usalama inayoendelea katika Kaunti ya Samburu kulenga majangili wanaodaiwa kuvamia maeneo ya Meru na Is...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Saba mbaroni kwa unyang’anyi, mauaji Arusha

Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watu saba wakituhumiwa kujihusisha na mtandao wa uhalifu unaohusisha mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa pikipiki.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wakazi walalamika mamia ya ng’ombe wakiuawa kwenye msako wa majangili

WAKAZI wa Samburu wameibua malalamishi baada ya mamia ya ng'ombe, mbuzi na punda kuripotiwa kuuawa wakati wa operesheni ya usalama iliyolenga majangili na kurejesha mifugo iliyoibw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

DC Arumeru akemea mauaji ya Rebeca, mmoja akamatwa

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (DC), Neema Lugangira, amekemea mauaji ya Rebeca Naffi (22), akilitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini wote waliohusika na kuhakikis...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Polisi Iringa wawafuata wananchi kusikiliza kero

Badala ya kusubiri wananchi wafike vituoni kuwasilisha changamoto zinazowakabili, Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limeanza kuwafuata katika maeneo yao kupitia kampeni ya ‘Ongea na K...

Read source
allafrica.com /3 weeks ago

Kenya: Gachagua Condemns Samburu Livestock Killings, Vows to Meet Maa Elders

[Capital FM] Nairobi -- DCP leader Rigathi Gachagua has condemned the reported killing of hundreds of livestock during a security operation in Samburu, promising to meet Maa commun...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Polisi yamshikilia dereva anayedaiwa kumpiga trafiki Dar, sababu zatajwa

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni ameshambuliwa kwa ngumi na mateke na dereva mmoja wakati akimzuia kutumia barabara ya huduma (Service Road) katika eneo la Lugalo,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Polisi wapiga kambi katika boma la mbunge kuhusiana na ghasia za Embu

MAAFISA wa polisi waliojihami kwa silaha jana walizingira makazi ya Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji huko Mutunduri, siku moja baada ya vijana wenye hasira kujaribu kuvuruga mkut...

Read source
mwananchi.co.tz /18 hours ago

Wananchi Maswa watembea zaidi ya kilomita 50 kufuata kituo cha polisi

Wananchi wa Kata ya Masela, wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wanalazimika kusafiri zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za polisi, hali inayowaongezea gharama za usafiri na kuwapa cha...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Anayedaiwa kumkata viganja mfanyakazi wa ndani atiwa mbaroni

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni mkazi wa Kijiji cha Lyasongoro, Kata ya Marangu Mashariki, Emmanuel Mariki (28), kwa tuhuma za kumkata viganja vya mikono mfanya...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

242 wakamatwa Kilimanjaro kwa uhalifu

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewakamata watu 242 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa maadili, kukutwa na nyara za Serikali na usafirishaji wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Diwani wa CCM mbaroni kwa kusababisha kifo cha dereva bodaboda

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia diwani wa Kata ya Myamba, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Greyson Kyondo kwa kuendesha gari kizembe na kusababisha ajali iliyos...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Rais Samia awalilia Polisi na mahabusu waliofariki ajalini, atoa maagizo

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Adaiwa kumuua mpenzi wake, naye anusurika kujiua Musoma

Polisi Mkoa wa Mara inamshikilia Mwanasheria Keneth Nkiko (28) ambaye jukumu lake lilikuwa kutoa msaada wa kisheria kwa waathirika wa vitendo ukatili wa kijinsia ambaye anatuhumiwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Anayeshukiwa kuongoza genge lililotibua mkutano wa Sifuna Homa Bay anyakwa

POLISI wamemkamata Kassim Abdi Sebo, anayeshukiwa kuongoza genge lililolaumiwa kutekeleza wizi kabla ya mkutano wa Linda Mwananchi uliofanyika Homa Bay Agosti 16. Abdi alikamatw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Dereva matatani akituhumiwa kutumia simu huku anaendesha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia dereva wa basi kwa tuhuma za kuendesha gari huku akitumia simu ya mkononi, pamoja na kuwajibu lugha chafu abiria waliomuonya kuacha kit...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Msimsalimu Natembeya, amri kwa polisi kuhusu Ruto yavuta hisia

KAMISHNA wa Kaunti ya Trans Nzoia Hussein Allaso amezua mzozo baada ya kuwaamuru maafisa wa serikali ya kitaifa kuacha kumsalimu Gavana George Natembeya, akimlaumu kwa kumkosea hes...

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Jeshi la Polisi lawasaka watuhumiwa wengine wizi wa betri za CT Scan

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linaendelea kuwatafuta watu wengine wanaodaiwa kuhusika na wizi wa betri 40 za mashine ya CT Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo, likisema hal...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Sintofahamu ekari 20 za mazao ya wananchi kufyekwa Karatu, DC afunguka

Soma hapa...

Read source
nairobiwire.com /3 weeks ago

Kakamega Police Chief Remanded Over Alleged Defilement of 14-Year-Old

A senior police officer in Kakamega County will remain behind bars pending a court decision on his bail application after being charged with sexually assaulting a 14-year-old girl....

Read source
mwananchi.co.tz /19 hours ago

Wafugaji 43 Kilosa wadaiwa kuchochea migogoro

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka ameagiza kukamatwa wafugaji 43 wanaotuhumiwa kuchochea migogoro kati yao na wakulima huku wakidaiwa kuwakatisha watoto masomo yao kwa aj...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Haya hapa maagizo ya Samia kwa Ma-RC

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Chalamila kula sahani moja na wamiliki waliokiuka vibali Kariakoo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema atawaandikia barua wamiliki wote wa majengo katika eneo la Kariakoo waliokiuka masharti ya vibali vya ujenzi, akiwataka...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kamanda Wa Polisi Wa Tarafa Ndogo Ya Samburu

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source