Kisa cha afisa wa DCI kudungwa kisu chaibua hofu ya ujasiri wa wahalifu
ONGEZEKO la mashambulizi dhidi ya maafisa wa polisi katika Kaunti ya Lamu limezua wasiwasi kuhusu iwapo makundi ya wahalifu yanazidi kupata ujasiri licha ya juhudi za miaka mingi z...