Kenya yapokeza usukani wa ulinzi Haiti kwa mataifa mengine magenge yakiwa bado yanatesa
KIKOSI cha mwisho cha maafisa 150 wa polisi waliotumwa Haiti chini ya Operesheni ya Usalama ya Kimataifa (MSS) kinatarajiwa kurejea nchini hii leo, Jumanne, Aprili 28, 2026. Maafi...